Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena...
17 Reactions
60 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, Julai 28, 2025 amewasimamisha viongozi wa chama cha wafanyabiashara wa nyama mkoani Katavi kwa tuhuma za ukiukwaji wa sheria, taratibu na miongozo ya...
1 Reactions
8 Replies
721 Views
Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya...
4 Reactions
13 Replies
837 Views
ZAWADI: Kaka Magical Power, naomba ushauri tafadhali, usinipuuze 🙏 MAGICAL POWER: Sawa, sema dada. Upo salama? ZAWADI: Sina amani kabisa. Mume wangu wa ndoa miezi mitatu, amebadilika ghafla...
0 Reactions
2 Replies
235 Views
Raisi wa chama cha walimu Tanzania alitoa tamko kwa vyombo vya habar kuwa wamezungumza na serikali kuhusu changamoto za walimu kutopanda madaraja kutokana na kigezo cha PEPMIS na kwamba serikali...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Kuandamana kwa sababu yoyote Ile sijawahi kuona kama inasaidia kwa nchi zetu hizi za kiafrica ni kutafuta Tu shida.embu tuchukulie mfano Angola Jana madereva na wananchi eti wanaandama kisa bei ya...
2 Reactions
13 Replies
503 Views
Wapendwa wamiliki wa Guest House na Lodge kote nchini, Kwa heshima zote, nyenyekevu, na kwa maumivu ambayo hayawezi kuelezwa kwa lugha ya kawaida, tunawaomba kwa moyo wa dhati MUONDOE MAGRILL...
6 Reactions
14 Replies
920 Views
Haya wanawake muda WA kupiga hela huu Mtoto WA mama mkwe alee mimba bandia Hadi akome Kuna ya miezi mitatu Miezi sita Miezi Tisa etc Mkombozi WA mchepuko .wanaume tulieni .mtapigwa matukio Hadi...
7 Reactions
120 Replies
5K Views
Isa 26:9 SUV [9] Kwa nafsi yangu nimekutamani wakati wa usiku; Naam, kwa nafsi yangu ndani yangu nitakutafuta mapema; Maana hukumu zako zikiwapo duniani, Watu wakaao duniani hujifunza haki. Sio...
1 Reactions
0 Replies
279 Views
Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tatizo la ajira limewakumba graduates wa Marekani mpaka kusababisha vyuo vikuu kuanza kukosa wanafunzi wengi tofauti na zamani. Kumbe hata majuu watu wanakimbilia VETA zao za huko, maana degree...
0 Reactions
5 Replies
357 Views
Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL)...
1 Reactions
0 Replies
289 Views
  • Closed
guest-1787677726
Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI...
5 Reactions
262 Replies
8K Views
Hallow Huu ni utabiri wangu na utabaki kama kumbukumbu hapa Jf. (1) COVID19 nchi za ulaya na baadhi ya nchi ya nchi za Africa ugonjwa wataudhibiti na sisi tutakuwa bado hatujauzibidi tutapigwa...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Je, wewe unaweza kutenda hata uovu ili ndugu zako na wanao wale bata wakati wewe ukinyooshewa kidole na kila mtu?
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Salaam, Shalom! Usilolijua ni kuwa, Kila mtu anaye malaika special toka kwa Mungu tangu kuzaliwa aliyeweka kuchukua kumbukumbu zote za mtu Akali akiishi na kuziandika kwenye KITABU maalum. Killa...
0 Reactions
9 Replies
647 Views
Matangazo yenye taswira za ngono au binti kujiweka kuvutia matamanio ya ngono lazima yaruke na akili za watu, kuweka attention hapo na hata kuishia kununua bidhaa ambayo imetangazwa. Mara...
3 Reactions
10 Replies
630 Views
Tunaomba ujaze dodoso ili tupate maoni kwa ajili ya kuboresha huduma zinazotolewa na Baraza.
1 Reactions
0 Replies
176 Views
KUZINGATIA HITAJI LA KISHERIA LA KUSAJILI NA KUTUMIA MAJINA YA DOT TZ (.TZ DOMAIN NAMES) NCHINI Kwa mujibu wa Kifungu cha 79 cha Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Cap. 172 R.E...
0 Reactions
5 Replies
655 Views
Back
Top Bottom