Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jf leo ninaswala gumu linanitatiza naitaji maoni yenu. Kama binadamu wengine namuamini mungu. Ila napata wakati mugumu kuchagua dini ya kuabudia. Nikisema hivyo namaanisha mini ni...
21 Reactions
384 Replies
11K Views
Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Kucheza kamari siyo kosa bali vioongozi walioidhinisha kamari ndiyo hawafai kabisa hasa wa serikali na dini ambao wanatumia kodi za kamari kuendesha maisha yao.
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Watu wengi ninaowasoma humu na kwenye mitandao mengine[huenda hata mimi nimo] tuna tatizo la self-sabotage au mental stagnation au labda ni woga wangu tu.... Dalili zake Uvivu wa kijamii...
5 Reactions
12 Replies
685 Views
Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanaJF? Hivi hawa MECHANICAL ENGINEERS wana kazi gani hapa nchini Tanzani? Nashindwa kuwaelewa kabisa kwa sababu wana ujuzi na hicho walichokisomea lakini wanshindwa kutumia huo ujuzi wao...
4 Reactions
121 Replies
12K Views
Kumekuwa na kudharauliwa sana kutokufwatwa Kwa kanuni na sheria ndogo ndogo za uchimbaji kwenye mikoa yenye uchimbaji wa madini haswa dhahabu Kwa kiwango kidogo. Mfano hai kumekuwa na Malalamiko...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Habari za muda huu Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana...
0 Reactions
3 Replies
513 Views
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Yas kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanayoendelea jijini Dodoma. Maonesho hayo...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Ninaomba mnilipe gawio langu la Samia Infrastructure Bond vinginevyo nitaenda Mahakamani mnirudishie fedha zangu. Tuliaminishwa kuwa kila baada ya miezi mitatu tunapata gawio lakini siyo kama...
1 Reactions
18 Replies
827 Views
Mkuu wa Idara ya Wateja wakubwa wa Vodacom Tanzania PLC Rahma Dachi (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya shukrani kwa wasaidizi wa wachezaji wakiwakilishwa na afisa utawala wa Lugalo Golf Club...
0 Reactions
0 Replies
206 Views
JINA LANGU NI KAYANDA NUSU NGESE. Kwa sasa ninaishi mjini Bujumbura, nchini Burundi. Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, naomba msaada wa kibinadamu kutoka kwa yeyote atakayesoma ujumbe huu...
1 Reactions
7 Replies
547 Views
Nakumbuka huyu mzee aliwahi kusema mala kadhaa pale bungeni kuwa itafika mahali hakuta kuwa na chama cha upinzani kitachokuwa na wabunge, madiwani na hata wenye viti wa vitongoji na watabaki CCM...
6 Reactions
3 Replies
442 Views
Nina safari hivi karibuni kwenda mkoa wa Mara Butiama naomba kujua yafuatayo: -Je mabasi yanaondoka asbhi saa 12 au muda wowote? - Safari kutoka Dar mpaka Butiama inachukua masaa mangapi mpaka...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
TANESCO MAKAO MAKUU, S.L.P. 453, DODOMA, TANZANIA. SIMU 0748550000 TAARIFA KWA UMMA TUKIO LA AJALI YA MOTO KATIKA OFISI YA TANESCO MKOA WA LINDI Jumapili, 20 Julai, 2025. Shirika la Umeme...
0 Reactions
1 Replies
547 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima (GCTC), Askofu Maximilian Machumu Kadutu maarufu kama Mwanamapinduzi, ameibua maswali kuhusu hatua ya Serikali kufungia makanisa yote ya Ufufuo na...
0 Reactions
6 Replies
338 Views
#HABARI wanasayansi wanasema viumbe aina ya Aliens vinakuja kuivamia Dunia mwezi novemba mwaka huu 2025. Kupitia ripoti iliyotolewa na Cbs news , wanasayansi kutoka Harvard wanasema Kuna viumbe...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma na jirani wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya wakulima...
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Ukiona mtu,anakuheshimu ,ana kupigia simu alafu huna pesa, huna kazi , huna chochote, huyo ni zaidi ya binadamu .muombee sana kwa Mungu ๐Ÿ˜ฅ
3 Reactions
1 Replies
239 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ