Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Apple CEO Tim cook anaonekana kutoshtushwa na wasiwasi kwamba maendeleo katika AI yanaweza kupindua Utawala iphone ulimwenguni.
Siku ya alhamisi mwandishi mmoja...
Huko mkoani Kilimanjaro hali si shwari ndani ya Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha mapinduzi(UWT)kutokana na kilio cha wanachama wake kulalamikia vitendo vya rushwa,kujuana,upangaji wa matokeo na...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili...
Watu mnacheka nao mnakunywa nao pombe na kula nao mdudu yaani kiroho kabisa ila wakipata habari police wamekuchukua wana mute wanabaki kupashana habari zako. Mtaji halisi wa watu ulionao ni ndugu...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imepanga kufunga kamera maalum za usalama (CCTV) katika Daraja la J.P. Magufuli linalounganisha Kigongo na Busisi, mkoani Mwanza, ili...
TUKIACHANA NA Tabia ya mwanamke mmoja mmoja ni wanawake wa kabila gani ni wachapakazi, wanajua mchezo mtamu vizuri, wanajua ku care, alafu watulivu wakikupenda kweli?
Jibu direct usilete ungese🚫😎✌️😎
Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni...
HISTORIA YA NOTI YA TSH 10,000
Ilingia lini?
Noti ya Shilingi Elfu Kumi (10,000 TZS) ilizinduliwa rasmi na Benki Kuu ya Tanzania mwaka 2003 kama sehemu ya mabadiliko ya sarafu ili kuendana na...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa...
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tanga Bahati Kahindi amewataka wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Kata kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa na wadau wa Uchaguzi...
Aseee napita mitaa ya Mbweni ya huku ,
Ni noma sana, kuna mijengo mikali sio mchezo wazee.
Hivi hawa wenye mijengo wanatoa wapi hizi pesa ? Au sio watanzania
Yani sielewei kabisa
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani ya bilioni 15, hatua ambayo imewezesha kuokoa...
Leo tarehe 4 August wakati wana CCM tunapochagua wagombea ni vyema ikajulikana ni siku muhimu kuliko hata Octoba 29.
Leo ndio wanapatikana zaidi 80% ya Wabunge na wengi wanaoshinda leo wanakuwa...
Kama wiki sasa tunajaribu kuingia huduma ya bodi ya mikopo kwenye kipengele cha kuverify nida kuna goma kabisa shida sijui nini , tafadhali pitieni ili tuendelee bila usumbufu.
Asante
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linautahadharisha umma kuhusiana na tabia iliyojitokeza hivi karibuni ya baadhi ya watu kujihusisha na utoaji wa tiketi za huduma ya reli ya kisasa ya Standard...
Freeman Aikaeli Mbowe ndio gwiji pekee wa siasa za upinzani nchi kwa sasa , ukimwacha marehemu maalim Seif Sharif Hamadi.
Bado ana nguvu, uwezo na ushawishi mkubwa kuliko kiongozi mwengine wa...
Habari wana JF
Leo nipende kutoa uzi unaohusiana na maswala ya kifedha katika taifa hili la TANZANIA.
Ikumbukwe tangu aondoke mwendazake,deni la taifa lilikuta takribani trillion 8.2 tangu...
Inawezekana kabisa CCM inazihitaji zaidi REFORMS kuliko hata Chadema na wenzao.
Leo huko mkoani Simiyu, jimbo la Kisesa, wajumbe wamegoma kupiga kura wakimtaka mbunge wao aliyekatwa jina.
Wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.