Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.
Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu...
Wajumbe wa jukwaa hili
Kuna huu upumbavu wa kifala unaoendelea hapa mjini kati ya hawa viumbe wanaojitapa kujiita Mishangazi na hawa Vitoto vya Kiume (Vibenten) vinavyoshinda vikilamba miguu ya...
Katika elimu ya namba Tundu Lissu anahesabika kuwa na mtetemo wa namba tisa (9) namba ambayo ina misukumo ya uanaharakati, utetezi wa haki na mabadiliko ya Jamii. Mtetemo wa namba tisa (9)...
Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama.
Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na...
Mitandao imejaa ushauri wa "Acha kazi ajiriwa, kuwa bosi wako mwenyewe," lakini ukweli halisi mtaani ni mgumu sana kuliko picha inayojengwa mtandaoni.
Hebu tuangalie ukweli huu kwa upana:
Mtego wa...
Nilimtukana sana Traore nikifiriki ni dikteta uchwara kama madikteta wengine wa Africa kumbe ni dictator mzuri "benevolent dictator"
Jana ameleta habari kubwa sana duniani baada ya kuzindua...
Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa!
Kwa mfano mtu...
MADEREVA WAKIGOMA, TANZANIA INASIMAMA?
Wakuu, kama taarifa zinazosambaa kuhusu madereva kusitisha huduma leo ni za kweli, basi hili si jambo la kuangalia kama mgomo wa kawaida tu.
Jiulize...
Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako...
Habari? Nipo mji wa ugenini kwajili ya utafutaji, na eneo lina frusa kubwa ambazo Mimi ni ndoto yangu kubwa ya mda mrefu na naona nikiwekeza hapo nitafikia Malengo kwa mda mfupi, ila wenyeji wangu...
Kupitia maboresho makubwa yanayoendelea kufanyika katika mifumo ya Sekta ya Ardhi, Ofisi ya Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Mwanza imeendelea kutoa huduma kwa ufanisi kwa wananchi wanaotembelea...
4 days Tanzania group joining safari package 2026/2027
Tarangire • Serengeti • Ngorongoro Crater
Join our 4 Days Tanzania Group Joining Safari and explore Tarangire, Serengeti and Ngorongoro...
Habari za wakati huu, wana-JamiiForums.
Ninatumia kalamu yangu kutoa faraja kwa kila anayejaribu kuboresha maisha yake na familia yake.
Kutokana na sababu kadha wa kadha, kama vile kubadilika...
Wakuu kwema, naombeni kujua kiwango cha huo mshahara hapo. Kuna kazi nimeona
Ofisi ya Msajili wa Hazina sasa nataka kuapply, ila kabla sijafanya hivo naomba kujua salary imekaaje
Asanteni
Msajili wa Hati Nchini, Bw. David Mshendwa, amemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chato, Bw. Louis Bura, Hati Miliki aliyopata kupitia Kliniki ya Ardhi inayoendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Madini...
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando ametoa akizo kwa wenye mabasi katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli kuondoa magari yao na kuyapeleka yadi kwao hata kama yana abiria.
Msando ametoa agizo...
Hili siyo jungu ni uhalisia kabisa, huko kwenye Halmashauri zetu ili uwe mkuu wa idara shart moja wapo inatakiwa uwe na Master degree,
Sasa imetokea kuna halmashauri watu wasio na sifa wanakaimu...
Kuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama...
Mwanamukuziki mkongwe mzee Ally zero tumwombee hali yake ki afya haiko sawa.
Hata kama famimia yake haijasema lakini kimwonekano hali yake ki afya haiko sawa.
Katika pita pita zangu huko...
Ukisikia mjini shule, shamba darasa. Jiulize hao waliotunga huo usemi walikuwa na maana gani ama walikutana na masahabu gani!
Akili ya binadamu ni kitu cha kushangaza mno. Kina uwezo wa ajabu...