Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja...
Inasikitisha kuona chombo cha habari kinatoa taarifa za ndani za kifamilia kiasi kuleta taharuki na ugomvi kwenye familia.
Huu ni uandishi wa hovyo na unapaswa kupigwa marufuku.
Wakuu hope mpo wazima wote. Na wagonjwa Mungu awafanyie wepesi.
Uzi wangu unawahusu wanaume wenye changamoto ya kutoka upara wakiwa bado vijanana wadogo.
I mean kuna mtu nywele zinaanza kuisha...
Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala hii ya ushauri wa changamoto zinazotuzuia kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha.
Kwenye makala hii tunakwenda kujifunza jinsi ya kuondoka kwenye...
YAH. KUIUA NA KUIFUTA KATIKA KAZI ZANGU KAMPUNI YANGU YA MUSICPRESS
Nimefuta(edit) na kuondoa kabisa logo na jina MUSICPRESS katika Nyimbo zangu zote audio na video na pia nimefuta na kuondoa...
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.
Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na...
Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua...
Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa
Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu
Kwasasa wizi na udanganyifu...
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu, Masijala Kuu, Mhe. Elimo Daniel Massawe, amesema Mahakama inatambua mchango mkubwa wa Asasi za Kiraia na Vyama vya Wanasheria katika kupaza sauti za wananchi...
Watendaji wa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) wakiongozwa na Meneja wa Masoko ya Kikanda, Bi. Nabila Hemed wametembelea Bohari Kuu ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) na kuzungumza na uongozi wa bohari hiyo...
Muonekano mzuri city center - Mwanza
Barabara - Dodoma
Maji - Mbeya
Huduma za Serikali - Dodoma
Utalii - Arusha
Vyuo - Mbeya
Malls na supermarket - Mwanza
Usalama - Dodoma
Huduma za Afya - Mbeya...
Niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Navyojua MDAs means:
M--Ministry
D--Department
A-- Agencies na LGAs means:
L--Local
G--Government
A--Authorities.
Sasa naomba kufahamu wafanyakazi waliopo chini...
Habari za majukumu na heri ya sikukuu ya wakulima
ya nanenane wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kila taasisi,shirika na kampuni mbalimbali huwa na tarehe maalumu ya kuwalipa...
Huu ni ushauri kabisa maana nimevumilia nimechoka kabisa ndugu zangu yaani vituko ambavyo wake zenu akiwa nyie hampo vinatia shaka kiukweli wakuu
Wanawake wanajirahisisha huku mahospital kwa...
Leo tungeona maajabu kwani wagombea wote waliokatwa kinyume na matakwa ya wananchi iwe ndani ya CCM au vyama pinzani basi wangesimama kivyao na wangeshinda kwa vishindo.
Hii ndiyo njia pekee ya...
Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje?
Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe...
Salam,wanajamvi.
Kwanza it is very unbelievable mpaka dakika hii kwamba,our beloved ambassador has gone awol.Najiuliza maswali mengi sana.Kwanza mpaka dakika hii,yuko wapi?,je ni nini hatma...
Polen sana weathirikaaa
Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu
Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii
Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi...
KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA
MKURG WA HALMASHAURI
NA WENGINEOOO
NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO
ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA
KUNA CLUB IKO NYUMA YA...