John John Msakuzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 296
- 103
==
Mkuu wa mkoa Tbaora anasema Serikali imeimarisha sekta ya madini mkoani Tabora (2021–2025) na kufanikisha: uzalishaji kuongezeka kutoka tani 0.34 (2020) hadi 0.8 (2025).
Mapato ya kigeni kutoka USD 15,068,988.01 hadi USD 50,692,090.41; mapato ya halmashauri kutoka Sh 118,627,594.27 hadi Sh 399,063,343.30.
Masoko kutoka soko 1 na kituo 1 hadi soko 1 na vituo 5; na leseni za wachimbaji wadogo kutoka 136 hadi 574.
Jumla ya mapato yote kwa mkoa yanafikia TZS173,081,336,819.49 (Halmashauri na USD)

| Shuguli | 2020 | 2025 | Tofauti |
|---|---|---|---|
| Uzalishaji wa madini (tani) | 0.34 | 0.8 | 0.46 |
| Mapato ya kigeni (USD) | 15,068,988.01 | 50,692,090.41 | 35,623,102.40 |
| Mapato ya kigeni (TZS) | 39,542,531,437.04 | 133,021,114,444.88 | 93,478,583,007.84 |
| Mapato ya Halmashauri (TZS) | 118,627,594.27 | 399,063,343.30 | 280,435,749.03 |
| Jumla ya mapato (TZS) | 39,661,159,031.31 | 133,420,177,788.18 | 93,759,018,756.87 |
| Idadi ya masoko na vituo | Soko 1, kituo 1 | Soko 1, vituo 5 | Vituo 4 |
| Leseni za wachimbaji wadogo | 136 | 574 | 438 |