Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA PICHA YA JUU NI YA LEO
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Maswali yatazidi kuwa mengi sana kuhusiana na story ya SAFINA YA NUHU. Unaposoma Kitabu cha mwanzo sura ya 6,7 na 8 utaona Mungu mapema kabisa anatoa maelekezo namna gani safina itengenezwe...
9 Reactions
129 Replies
4K Views
Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
Salute,,, Niende kwenye hoja moja moja Kwa moja binafsi mimi Huwa napenda sana ukifuatiria siasa ndani na nje ya Africa Kwa ujumla. Leo nilikuwa napitia kitabu Cha mwandishi wetu mashuhuri...
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Wanasayansi Baada ya muda mrefu kupita na majaribio ya kutosha hatimaye wagundua kuwa barafu ni maji ya yaliyoganda Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
2 Reactions
13 Replies
814 Views
Hivi akina Mwalimu na Mpina wangekuwa ni Wagombea wa Vyama vyetu pendwa (siyo CCM) bado tungewadharau hivi? Tafadhali tumpinge Rais Samia kwa Hoja za maana na siyo za kutufanya Wote tuonekane ni...
3 Reactions
7 Replies
481 Views
Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa...
21 Reactions
68 Replies
3K Views
Naomba kujua namna wabunge au madiwani wanavyosaidia/wanavyoleta maendeleo ya wananchi waliowachagua.
1 Reactions
19 Replies
772 Views
Hii ni kwa great thinkers tu. Habari zenu na poleni pia kwa majukumu. Kama mada inavyojieleza naomba tujadili wadau. Mimi naona mfumo wa elimu yetu baada ya uhuru haujaleta tija yoyote katika...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Mimi huwa natuma yaani kwa ujumla nipo kwenye daftari la kijiji ila nataka kujiondoa je? Kuna hasara gani nitapata maana faida siioni mm nina mke na watoto.
0 Reactions
11 Replies
487 Views
Pia Uliza yona alitumwa ninawi alikoenda anajua yeye🤣🤣😁 shusheni comments wakuu mambo yaliyowafuraisha katika Biblia
0 Reactions
7 Replies
497 Views
Mgombea wa Urais Kupitia chama cha Tanzania Labour Part (TLP) Yustas Rwamugira amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha Maiti hazizikwi na...
0 Reactions
1 Replies
254 Views
Kila news nayopata kutoka Gaza lazima iwe imetolewa na wizara hiyo ya afya sijawahi kusikia wizara ya mambo ya ndani wala mambo ya nje ningependa kujua muundo wa serikali yao ukoje.kuna wizara...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Kwa mujibu wa mwongozo wa kanisa la Wasabato, yapo mambo 13 yanayoweza kupelekea mshiriki wa kanisa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ikiwa ni pamoja na kufutwa ushirika. Jambo la 2 katika orodha...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
TANZANIA TAJIRI MASKINI TATHMINI YA KUDORORA KWA MAEMDELEO LICHA YA RASILIMALI LUKUKI Mwandishi: Bakran Awadh Ali Tarehe 23 juni 2025 UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa mataifa yenye utajiri...
1 Reactions
1 Replies
581 Views
Fatma Awadh mkazi wa Kariakoo amemshukuru Rais Samia na aliyekuwa waziri wa Ardhi Mhe. Jerry Silaa (sasa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari) baada ya kushinda kesi ya Mirathi ya...
25 Reactions
183 Replies
8K Views
Hivi karibuni, vyombo vya habari vimekuwa na nafasi kubwa katika kuunda mitazamo ya jamii kuhusu masuala ya jinsia. Hata hivyo, hali imekuwa ikielekea kwenye upotoshaji wenye ladha ya "sukari ya...
1 Reactions
2 Replies
434 Views
Ukifatilia maisha ya binadamu wengi unagundua wamekuja hapa duniani for nothing. Mfano unakuta MTU anakuambia ili ufanikiwe unabidi kuwa na roho mbaya , uwe katili , n.k. Ila binadamu huyo huyo...
3 Reactions
9 Replies
598 Views
Back
Top Bottom