Wakuu kwema
Jana nilipata changamoto ya kiafya ikabidi niende pale zahanati ya halmashauri mwenge karibu ba uwanja wa KMC ni Mwenge, nilikutana na mambo ya kushangaza sana, na huu ni wizi wa...
Kwan kati ya Hamasi na Israel nani hana huruma kwa Raia, Hamas wanashikiria mateka kumi wa Israel. Israel kasema vita kuisha inabidi mateka wake waachiwe vita iishe kwnini Hamas wanapiga kelele...
Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap.
Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anamringi Macha, ameeleza kuwa hali ya uchumi ya mkoa imeendelea kuimarika ambapo Pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 2.5 mwaka 2020 hadi shilingi...
Akiongea na wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Annamringi Macha amesema viwanda vimeongezeka kutoka 671 mwaka 2020 hadi 1,342 mwaka 2025, hali iliyoongeza ajira katika sekta hiyo kufikia...
Tunza siri zako mwamba!
___________________
1. Siri ni maisha wewe! Huna siri, huna maisha!
2. Ukiweza kujificha adui asikuone lakini wewe ukawa unamuona jua ushindi ni wako hata kama...
Katika dunia ya sasa ambapo teknolojia imeshika hatamu, heshima na unyenyekevu vimebaki kuwa silaha za thamani kubwa kuliko hata mali au umaarufu.
Watu duniani wapo na file lako ukijichanganya...
skari 15 waliopo mafunzoni katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, maarufu zamani kama CCP mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya gari walilopanda kuhusika kwenye ajali ya uso kwa uso...
Chupuchupu ChatGpt imuue...!
Kadri siku zinasonga ndivyo mamia na mamia ya watu wamekuwa wakitumia akili undwa (AI). Licha ya kwamba mara kadhaa akili undwa ama Google imekuwa ikitoa angalizo...
East Africa Commercial and Logistics Center (EACLE) hii ina maduka 2000 na pia inatarajiwa kuwa Centre ya biashara Africa Mashariki
Pale nilikwenda na familia siku ya jana aiseee wachina...
Habari za wakati huu.
Nimeona nichangie jambo moja kuhusu msamiati wa kipagani ulioingizwa katika midomo ya baadhi ya wafuasi wa dini za kiislamu na kinaswara (kikristo) kwa kusema kuwa kaburi ni...
Na Mjumbe wa Nafsi za Watu
Je, ukoloni pekee ndiyo unaolaumiwa? Au kuna mengine zaidi? Hili ni swali ambalo linaibuka tena na tena miongoni mwa wachambuzi wa historia, maendeleo na siasa za...
Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Innocent Bashungwa amewatunuku vyeti vya kuhitimu wafungwa 170 waliokuwa wakipata mafunzo ya ujasiriamali na stadi za biashara kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha...
Habari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM...
Kwa mtazamo mkubwa watu wengi wenye Makampuni, au watengeneza ajira hasa zinazo hitaji ubunifu kwasasa hawaajiri watu wenye alama kubwa za kiakademiki/darasani 85-100%. Bali Hupenda kuwaajiri...
Kuna rafiki yangu alikuwa na mwanamke akafanikiwa kuzaa naye watoto wawili,badaye akaachana na huyu mwanamke akao mwanamke mwingine akafanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Bahati mbaya huyu rafiki...