Wanabodi habari za Muda huu.
Naomba kwa wale wenye uzoefu na walionitangulia katika haya mambo naomba tufahamishane ni kipi muhimu kuanza nacho kati ya Ndoa au Ujenzi wa Nyumba?
Tushauriane...
Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi.
Je kwa mwenye uzoefu anijuze...
Je Yesu ambae ndo Mungu ni katili kiasi hiki?
1. Kumbukumbu la Torati 20:16-17
“Lakini katika miji ya mataifa haya akupayo Bwana, Mungu wako, kuwa urithi, hutawaacha hai mtu ye yote...”
2. 1...
Huu mtandao wa Vodacom kwa sasa naona umekuwa na system za kutuibia wateja wake kwenye upande wa salio la kawaida.
Nimekuwa na changamoto katika mtandao huo takribani miezi kadhaa yaani kila...
Mdau
Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde?
Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa...
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za...
Mtendaji Mkuu wa Wakala Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema ujenzi wa madaraja katika barabara kuu ya Dar es Salaam–Lindi (T7) unaendelea kwa kasi kupitia mpango wa...
Moja ya hadithi zinazotajwa ni ile Hadith inayopatikana katika Sahih al-Bukhari, ambapo Aisha anasema:
"Watu walikuwa wakileta zawadi zao kwa Mtume wa Allah (ﷺ) katika siku ya Aisha. Wake...
Kaini alimuua Abeli, kisha akafukuzwa na kwenda kuishi nchi ya mbali na kule akaanzisha uzao wake!!🤔
Je Kaini alimuoa nani kule nchi ya mbali? Alizaa na nani?🤷🏿
Ikiwa Dunia ilikuwa na Adam &...
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo
Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi...
https://youtube.com/shorts/gQOZqg8blW0?si=-lRtUNLB63qZPj_X
Katika taarifa yake kwa wanahabari mkuu huyu wa mkoa wa Tanga amesema kuwa Kukamilika kwa maboresho ya Bandari ya Tanga kumeleta...
Rais Samia ameanzisha Soko la TMX mauzo ya mazao yaongezeka kwa asilimia 300 imani ya wakulima imeongezeka
Chini ya Rais Samia Serikali imeimarisha udhibiti wa biashara ya mazao ya kilimo kwa...
Katika nyakati hizi ambazo ajira ni changamoto . baadhi ya wawekezaji hatupewi nafasi ya kutosha katika kutimiza ndoto zetu za uwekezaji.
Nimetoa pendekezo kuhusu kujenga magereza binafsi pamoja...
Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha...
Kuna shida gani huku Arusha hasa huku Arumeru, kwa siku umeme unakatika zaidi ya mara 10, Jumamosi siku nzima hatukwa na umeme, leo mapema wameshaukata, tumeambiwa nchi ina ziada ya umeme mpakaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za...
Niliwahi kuripoti tukio la kijana mmoja mchimbaji wa madini anayeishi wilaya ya Sengerema kumrubuni mwanafunzi mmoja na kuamua kuishi nae kama mke na mme huku akijua kufanya hivyo ni uvunjifu wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha malalamiko rasmi kwa FIFA Ethics Committee dhidi ya Klabu ya Young Africans SC (Yanga). Malalamiko hayo yanahusu mchango wa TZS milioni...
Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara...
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025
VIGEZO VYA PEPMIS VIMEACHA MAUMIVU KWA BAADHI YA WATUMISHI KATIKA KUPANDA MADARAJA.
Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali...