Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kupiga hatua ya Maendeleo kwenye Sekta ya Afya nchini Tanzania, imepiga hatua kubwa kwa kufanikiwa kuanzisha Matibabu ya Upasuaji ya Ubongo , Uti wa mgongo kwa kutumia Teknolojia ya kisasa...
0 Reactions
3 Replies
431 Views
Imeshawahi kukutokea mtu unamuulizia kumbe ameshafariki miezi miwili iliyopita basi mimi Nilitumiwa meseji na rafiki mchina, akiomba tuongee plan ya biashara, sikujibu akapiga sikupokea ...
3 Reactions
14 Replies
692 Views
Habarini wakuu, kwa tuliofanikiwa kuzunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu tupeane uzoefu wa maeneo yenye hali nzuri ya hewa na hali mbaya ya hewa, kwa upande wangu Maeneo yenye hali ya hewa...
2 Reactions
101 Replies
20K Views
Nilisoma kwa taabu sana Hasa upande wa usafiri Nilipofanikiwa usafiri nkaanza kuwabeba wanafunzi ninaokutana nao na wengi waliishia mwenge ama lugalo shuleni Siku nikampandisha ndugu yangu...
6 Reactions
8 Replies
476 Views
USOMAJI NYOTA JUMAPILI 17/8/2025 MSHALE Mtu unayemjali atapata habari njema ambazo pia zitakunufaisha wewe. Mtu wako wa zamani atakufikia kwa njia isiyokuwa ya fujo. Utapata wakati utakaoufanya...
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Assalaaam alykum. Ndugu yangu, hakuna shaka siku moja watu watakusanyika kwa ajili ya kifo chako. Na tambua kuwa kaburi lako ndo kituo cha kwanza katika maisha ya akhera, maisha yenye tabu na...
1 Reactions
4 Replies
335 Views
11 Reactions
69 Replies
4K Views
Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa...
0 Reactions
9 Replies
494 Views
Anonymous
Kuna taarifa kuhusu wahamiaji haramu zinazoripotiwa, mfano kuna mmoja ni raia wa DR Congo kwa jina ni mdada na kwa sasa anatumia namba ya Kampuni za Tanzania inayoanzia na 0754****...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Marafiki sio watu unaojuana nao na kupiga stori,no no no,hao ni watu unaojuana nao,sio marafiki. Rafiki ni mtu ambae unauwezo wa kumuambia jambo lako la siri na ukawa na AMANI kabisa kwamba hawez...
7 Reactions
22 Replies
824 Views
Yaan kadiri Siku zinavyozidi kwenda, ndivyo ujinga wa waTanzania unazidi kujidhihirisha hadharani..Na sichelei kusema, uenda Tanzania ndio TAIFA linaloongoza kwa kuwa na watu maarufu wapumbavu na...
2 Reactions
18 Replies
640 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Wakuu! Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu? Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi...
9 Reactions
52 Replies
2K Views
Nimeona post ya Mo Dewji katika pitapita zangu X leo. Nimeona kapost habari ya Al Jazeera inayoonesha video ya mtoto wa kike wa Palestine aliyeuawa makusudi na Israel akiwa anaenda kuchota maji...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu, Arusha. Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania PLC imeadhimisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake kwa kuandaa bonanza la michezo jijini Arusha mwishoni mwa wiki, likikusanya...
0 Reactions
1 Replies
247 Views
Kwanini RC msipite mnaombea kila kijiji au familia waweze kufanikiwa kimaisha,kukiwa na mafanikio ktk kila familia amani itakuja yenyewe tu. Hizo propaganda nyingine ni uhuni tu na kutafuta fedha...
3 Reactions
14 Replies
748 Views
Anonymous
Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Shalom wapendwa, Niwajulishe tu mimi ni mhanga wa zile kampuni zinazojitangaza zinauza viwanja redioni. Unasikia matangazo: “Njoo Jumamosi saa kumi ukaangalie kiwanja chako…” Mimi nililipa, na...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Kwa muhula wa pili nimefuatilia namna Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kinawanyonya na kuwaibia vijana wanaowabakisha mara baada ya kuhitimu masomo kwa ufaulu mzuri ili kusaidia ufundisha
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…