kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Habarini wakuu, kwa tuliofanikiwa kuzunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu tupeane uzoefu wa maeneo yenye hali nzuri ya hewa na hali mbaya ya hewa, kwa upande wangu
Maeneo yenye hali ya hewa nzuri kwa Tanzania
Maeneo yenye hali ya hewa nzuri kwa Tanzania
- Lushoto - Hakuna joto sana wala baridi sana
- Mwanza - Hakuna joto sana wala baridi sana
- Arusha - Hakuna joto sana wala baridi sana
- Bukoba - Hakuna joto sana wala baridi ipo ila sio sana
- Dar Es Salaam - Kuna joto iliyokithili
- Iringa - Baridi kali kupita kiasi
- Dodoma - Upepo mwingi mno, vumbi