Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna taarifa ya kukamatwa Daktari feki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kama hii habari ni kweli, basi itabidi baadhi ya Viongozi wa Hospitali hii wajiuzulu nafasi zao. Hii inaonesha ni jinsi...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
SIRI imefichuka! Kumbe yule Dokta Dismas John Macha aliyenaswa kwa tuhuma za kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar, Jumanne wiki hii, ni fundi wa umeme wa nyumbani...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia...
2 Reactions
10 Replies
618 Views
Serikali ya Samia Kupitia Ruwasa imefanikiwa kufikisha maji kwenye Vijiji vyote Tanzania zaidi ya 12,318 kasoro vijiji 1,500 tuu yaani zaidi ya Vijiji 10,800 vimefikiwa na maji ya Bomba. Kazi...
3 Reactions
107 Replies
3K Views
KUTEMBELEA NYOTA YA MTU MWINGINE! Fuatana nami Dr *MAGICAL POWER * Je, umewahi kusikia watu fulani fulani huko wakisema "fulani anatembelea nyota ya fulani?" Na je, nini ulikuwa...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati...
14 Reactions
58 Replies
7K Views
Wakuu hamjambo?? Niende Moja kwa moja kwenye mada...Mimi nipo Kanda ya ziwa nilikuwa nafanya kazi sehemu kwa bahati nzuri nilijikusanya kwa mshahara wa 400,000 nikafanikiwa kununua pikipiki...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwanza kumepeleka mtoto kusoma shule ya mbali wakati mnapo kaa kuna shule hapa nawa gusa wale wanao somesha shule za sogea tukae pia ata hao wanao somesha st nao bado una muaminije. Boda...
3 Reactions
13 Replies
398 Views
Anonymous
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Wakuu, Ya Mungu mengi,unaweza kutekwa au kuuliwa kutokana na mada au replys zako humu,kwa vile umeenda kinyume na mfumo fulani. lakini mke wako/mume wako anajua kuwa unatumia mtandao huu ambao...
4 Reactions
16 Replies
508 Views
Kwa hakika utaendelea kumchukulia poa mwanamke mpaka siku utakayomshudia akipitia maumivu ya kuleta mtoto duniani Ewe mwanaume ukipata fursa ya kumshudia mwanamke akijifungua mtazamo wako...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Kama wewe ni mtumishi wa umma au mjasiriamali nakuasa achana na kitu kinachoitwa Bayport. Hawa ni matapeli kuliko unavyodhani. Hawa hawapo tayari uwalipe deni lao uwaache, watakuganda kama luba...
19 Reactions
48 Replies
4K Views
Enzi hizo baba angu alikuwa analangua kwa muhindi kariakoo. Huyo muhindi alikuwa anazitengeneza kisha anawapa vijana wake kwenda kuuza kwenye mashule mbalimbali jijini Dar Es salaam lakini...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwasasa Chadema imebaki kuwa Chaka la wahuni na genga la kupanga na kuratibu mipango ya kihalifu. Hivyo yatupasa tujiepushe na genge hili kwani unaweza kujikuta unaingizwa kwenye matatizo buree...
0 Reactions
4 Replies
409 Views
Tulishuhudia ujenzi wa Reli ya SGR hapa Jijini Mwanza na kuelekea Isaka ukienda kwa kasi, ghafla ujenzi umesimama na hatujui ni kwa sababu gani. Tunaiomba Mamlaka itueleze nini kimekwamisha...
4 Reactions
13 Replies
716 Views
Mimi nimewekeza kwenye Samia Infrastructure Bond. Mpaka leo sijapata cheti changu kuthibitisha kuwa nimewekeza kwenye uwekezaji huo. Chonde chonde ninaomba mnipatie cheti changu kunithibitishia...
0 Reactions
6 Replies
374 Views
Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida...
11 Reactions
72 Replies
3K Views
Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Wadogo zangu wawili wamemaliza form four na wanatarajia kujiunga na diploma mwaka huu, sasa wote wamepata vyuo ambavyo sio machaguo yao, ila mmoja ameridhika kwa kuwa chuo kilichomchagua amepata...
1 Reactions
0 Replies
326 Views
Wekeza kwenye hati fungani ya miaka 5 inayofuata Shariah. · Faida Halal 12% ukiwekeza TZS · Faida Halal 6% ukiwekeza USD · Gawio mara 4 kwa mwaka · Itadumu kwa miaka 5...
2 Reactions
5 Replies
585 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…