Kauli “There is no free lunch in Africa” ina maana ya kwamba:
Hakuna kitu unachopewa bure bila gharama — kila kitu kina bei yake, iwe ni pesa, muda, nguvu, au fadhila.
Katika muktadha wa Afrika...
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi ameongoza Jogging la hiari katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Samia Connect ambalo linaanza katika Viwanja vya Mgambo kuzunguka baadhi ya maeneo...
Wanabodi
Japo Sikukuu ya Christmas inasherekewa kwa shamra shamra sana, wengi wakidhani ndio sikukuu kubwa ya Wakristo, ukweli ni kuwa Pasaka ndio sikukuu kubwa ya Wakristo kutokana na fumbo la...
Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo...
Nakusalimu katika jina la Bwana Yesu,
Ni swali ambalo linaulizwa na wengi, je ni kweli mtu anaweza kuzishinda tamaa za mwili? Au vishawishi vyake? Anaweza kweli kuacha dhambi ya uzinzi, au...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp.
Kamanda wa Polisi Mkoa...
Kaa tafakari na sikitikia kizazi chako kijacho kitaishi katika ulimwengu gani.
Tunaichekea sasa AI ila nyakati zijazo tutaililia na kuilaani na kwanini hatukuungana kupinga uhuni huu unao...
Nimetuma maombi ya cheti cha kuzaliwa toka tarehe 2.8.2025 na maombi yameshalipiwa lakini watu wanaokaa kwenye mfumo wa kupitisha hivyo vyetu hawafanyi kazi Yao ipasawavyo
Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia...
Ninaamini kasi ya vijana wa kike na wa kiume kujihusisha na maadili yanayohatarisha ustawi wao, kwa kiasi kikubwa imetokana na mitandao ya porno za waszi wazi. Mfano ni ule mtandao wa rahatupu...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Serikali kuingilia kati suala la Kampuni inayohusika na kukamata wanaoegesha vibaya vyombo vya usafiri vya moto (wrong parking), akidai huduma...
Mfano Mimi namiliki Biashara sita.
Ninaingiza faida hadi mil 1 Kwa siku .
Nina Assets nyingi .
Sasa iweje nikubanie wewe kijana unayejitafuta ambaye hata ukipata Kazi utaishia kulipwa mil 1 au...
Utasikia bwana ametoa na bwana ametwaa au kazi yake mola haina makosa wakati huohuo anakemewa shetani ashindwe katika jina la yesu.
Waafrika manajifikirisha kwa kuwaza na kuwazua kweli?
Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa...
Huyu ni rafiki w karibu sana,tulicheza pamoja na tukakua pamoja.
Leo ameamkia nyumbani kwangu kifuru Dsm,katika moja na mbili analalamika yakuwa amekuwa anafatwa na Njiwa kila nyumba aliyokuwa...
Hii Mamlaka inafaa gharama zao zipitiwe tena kwani wana charge gharama kubwa sana bila kuzingatia biashara mtu anayofanya ambayo inafanya mazingira ya kufanya biashara kuwa magumu.
Hii mamlaka...