Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Alexander III wa Makedonia maarufu kama Alexander Mkuu alizaliwa mwaka 356 K.K. mjini Pella. Alipokea mafunzo ya kijeshi na kielimu chini ya uangalizi wa baba yake, Mfalme Philip II, na pia...
21 Reactions
185 Replies
5K Views
Juzi Kati hapa nilienda bank nikatoa kiasi cha pesa ATM, halafu risiti Ile nikaiweka kwenye pochi, sasa Leo shemeji yenu hapa tulikua tunapiga story nikawa namwambia kwasasa mambo ya pesa sio...
24 Reactions
202 Replies
7K Views
Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji...
2 Reactions
7 Replies
333 Views
Hasa hawa wahindi,wanachimba visima vya bure bila malipo, Wakishachimba wanajengelea chini mpaka juu wakimaliza wanaandika maneno yao ya kiarabu na wanaondoka hawadai chochote Kisima chenyewe...
1 Reactions
17 Replies
792 Views
Jina lingine huitwa ''Ulevi wa kifo'' haya ni 'maumivu ya kifo' au mafuriko ya mauti. Hakika Kila nafsi itataabika wakati wa mauti yake. Kwetu sisi waislamu tunazo dalili ambazo humpata mtu siku...
9 Reactions
163 Replies
10K Views
Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo. Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Moto umezuka na kuteketeza nyumba yenye vyumba tisa ambayo anaishi mmoja kati ya wachungaji wa iliyotokea usiku wa jana Jumatano, Agosti 20, 2025, hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini mali...
1 Reactions
8 Replies
477 Views
Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za...
2 Reactions
7 Replies
423 Views
Shirika la Reli Tanzania linatarajia kuajiri wafanyakazi 2,460 katika mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kwa vipande viwili vya kutoka Dar es Salaam mpaka Makutopora. Ajira hizo ni...
3 Reactions
8 Replies
772 Views
Ripoti za Siri zimevuja Cremlin kumewaka Moto, majasusi wanadai Marais wengi WA afrika ni vibaraka wanaotumiwa kuiba rasilimali za nchi zao kwa manufaa ya magharibi. Majasusi wanasema viongozi...
6 Reactions
14 Replies
933 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema,huu n mwez watu hali kama unavyo iona. Cc;Mwenyekit wa mtaa machifoni Cc:Mbwana Afya wilaya ya kiteto Cc:Mkurugenzi wilaya ya kiteto Cc: Mkuu wa mkoa wa manyara
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc Upande wangu, i dont think so.
0 Reactions
7 Replies
369 Views
Viongozi ni reflection ya sura ya wananchi. Yaani kwa lugha nyepesi ni kwamba ukitaka kufanya tafiti yoyote kuhusu wananchi usitumie gharama kubwa. Wewe angalia viongozi wao, vivyo ndivyo walivyo...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
https://youtu.be/mLsO9uliFNA?si=uMIgYqnPpWRtOj2o Nitakuwa natoa mfululizo wa makala za Miradi mikubwa ya Maendeleo inayotekelezwa Kila Mkoa. Ninaanza na Mkoa wa Kigoma.Unaweza sema Kigoma...
7 Reactions
191 Replies
10K Views
Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha.. Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao...
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Niliona upanga dar magari ya wahindi na waarabu wanaenda pale kwenye njiwa wanarusha mtama wengi sana nikajisemea labda ni mapenzi tu. Wiki ilopita nikaenda zanzibar pale darajan nilikuta watu si...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu...
20 Reactions
193 Replies
9K Views
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do. Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali...
131 Reactions
220 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…