Ibrahimu hajawahi fika Makka
Alkaaba ndio nyumba ya Allah yaani ndio msikiti wenyewe; na ndio kiini cha ibada ya Waislamu ulimwenguni mwote. Nyumba hii ikidaiwa ilijengwa na Ibrahimu.
Muislamu...
Kuanzia tarehe 1 Agosti 2025 DStv watakuwa na bei mpya kwa vifurushi na mkeka upo kama ifuatvyo;
DStv Poa - 11,500/=
DStv Bomba - 27,500/=
DStv Family - 40,000/=
DStv Compact - 68,000/=
DStv...
Habari za jioni,
Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa...
Wakuu hii Makato NMB mkononi to Lipa namba ya Voda yameanzia kwangu tu au ni kwa kila mtu.Juzi nimefanya muamala wa wa laki na 50 wamenikata almost 5,000 wakati kabla ya hapo nikilipa NMB kwenda...
Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao.
Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM.
Mlipo sasa mtatema bungo
Mfano hakuna ratiba ya chakula, chakula kimeiva unashangaa TU WATU wanaleteana vyakula wewe usiye na MTU MPAKA ufatilie chakula jikoni.
Kikawaida sherehe zilizostaarabika chakula kikisha iva na...
Familia ya Bw. Jackson Paul Kehengu imetoa msaada wa vitimwendo (wheelchairs) 10 kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI)...
Mwanafunzi wa sheria, Onesmo Mathew, amezindua kitabu chake kipya kiitwacho Watanzania na Sheria, ambacho kinalenga kuwasaidia wananchi wanapokumbana na changamoto za kisheria.
“Kitabu hiki...
Leo dunia ipo kwenye mfumo wa kidigitali kuanzia mitandao ya kijamii, benki, barua pepe, hadi mifumo ya kazi. Lakini pia uhalifu mtandaoni umeongezeka.
Njia rahisi ya kujilinda ni kwa kuwezesha...
JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA?
Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize?
Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?]...
Tabia ya Watanzania kushadadia mambo bila ushahidi wa kuthibitisha wanacholishwa itawaponza kila leo.
Polepole kasema hayo yote je kayathibitisha kwa ushahidi upi ambao utaweza kuwa utetezi kwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), Mhe. Balozi Dkt. Mpoki Ulisubisya, amepongeza ushirikiano mzuri wa utoaji huduma za afya kati ya MOI, Taasisi ya Moyo...
Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga...
Mit 4:7 SUV
[7] Bora hekima, basi jipatie hekima; Naam, kwa mapato yako yote jipatie ufahamu.
Vipo vitu huwezi kujua thamani yake mpaka umeambiwa au umeviona kwa macho yako, au umefika mahali...