Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali zenu wanajamvi natumai wote ni wazimaa.... Kama heading inavyojieleza nimeona leo nimtazame jk kwa jicho la tatu nimegundua mzee huyu ni mzalendo wa kweli wa taifa hili alieacha alama...
1 Reactions
11 Replies
689 Views
Mimi naamini watu weusi tuliuzwa na watu weusi ambao akili zao ndogo tukawapa ndio watuongoze.Kwa hiyo utumwa wa fikra,maisha na akili unaongozwa na akili ndogo nchi nyingi ambazo uhuru wa uwazi...
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Kata ya Buyuni – Mtaa wa Nyeburu, Barabara ya Mchimbo (Maarufu Kwa Baba Esther) Sisi wananchi wa Kata ya Buyuni, Mtaa wa Nyeburu, tunapenda kuwasilisha taarifa ya kero inayotusumbua kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
466 Views
Hatuwazungumzii wafanyabiashara wenye helikopta zao hao ni level nyingine, tunajizungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara ambao maisha yetu yamekuwa ni pirika pirika. kuna muda unaweza piga...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu najambo nataka kushare nanyi mnipe uzoefu na ushauri Nina Babu yangu ambae anakua nimjomba wa baba ana Umri wa miaka77,huyu Babu yangu anawatoto walio hai 6 kati ya watoto8 alio...
0 Reactions
11 Replies
660 Views
Mimi ni kijana nipo form 6,Nina umri wa miaka 19 uwezo wa kujitegemea ninao ila wazazi wanakataa mpaka nitakapomaliza shule na sababu yao kubwa eti mi bado mtoto. Hasa apa nipo najifikiria umri...
1 Reactions
4 Replies
323 Views
Bibafsi hamna jambo ambalo linanikera sana kama nchi kuona eti tunapewa mikataba ya kujenga Naamini ujenzi wa vyoo sehemu yeyote ndani ya nchi iwe ni mashuleni au mahali popote pale sio jambo...
1 Reactions
2 Replies
351 Views
Sisi kama serikali na sisi kama wadau wa maendeleo tunawakaribisheni katika hafla ya kuupokea Mwenge wa uhuru hapa jijini Mwanza utakaopokelewa na kulala hapa viwanja vya Nyamhongolo . Kila kitu...
9 Reactions
48 Replies
2K Views
Inasikitisha sana sana Rey maagano hayasemwo hadharani jamanii Kijana mmoja ofisi kubwa tu mwezi july tulikaa nae mlimanicity na ndugu kadhaa akamwambia dadake dada nakuhakikishia haya maisha...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Tution au twisheni wakati wa likizo ni kuwapandikizia hofu za maisha watoto. Watoto wa shule ya Msingi na sekondari wanatakiwa kutumia muda huo kujifunza vitu vipya ambavyo vitawasaidia maishani...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa...
2 Reactions
6 Replies
545 Views
Ni ipi basi iliyohifadhiwa? 1. Biblia ya Othodoksi ina vitabu 86 2. Biblia ya Waethiopia ina vitabu 81 3. Biblia ya Kigiriki ina vitabu 78 4. Biblia ya Karismatiki ina vitabu 76 5. Biblia...
1 Reactions
63 Replies
2K Views
Ulevi Kamari Zinaa Riba Nimetaja kwa jumla sana hapo juu sasa ngoja nichambue kidogo. Nyimbo siku hizi vitoto vyote vinaimba tena nyimbo zenyewe ni za kishenzi na kishetani haswa. Mbaya zaidi...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Emmanuel Mussa (27), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ighombwe, mkoani Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano wa Shule...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Dar es Salaam – Katika siku ya Ijumaa ya Agosti 22, 2025, wanafunzi kutoka Shule ya Awali ya Feza jijini Dar es Salaam walionekana wakifanya mazoezi ya kipekee ya namna ya kujiokoa iwapo jengo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kusomesha sio shida ila kinachotia huzuni ni wazazi wa kipato cha chini wanaingia kwenye gharama kubwa zinazowaingiza kwenye deni la matumaini makubwa badala ya kusomesha kama jukumu, wanaona ni...
16 Reactions
73 Replies
3K Views
Mimi shiishi Arusha ila ni zaidi ya miaka 20 lile eneo la shoprite ya zamani, unapita kona ya kilombero, ngarenaro lipo vile-vile na hakuna dalili hata ya kulibadilisha Ule uchafu kama uchafu...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Reformed checker imekaribia ,sasa mtiririko wa kete utaenda kwa kanuni na sheria za hiyo reformed checker, Hakutakuwa na kete bora kuliko reformed checker,hii ni historia na mapinduzi makubwa kwa...
23 Reactions
105 Replies
5K Views
Katika nchi yetu hii nzuri Tanzania yenye fursa lukuki, huku tukiwa na usimamizi imara wa CCM chini ya Samia. Inapasa mtu kujua jambo moja tu ili maisha yako yawe na mafanikio. Kama hautokei...
5 Reactions
72 Replies
3K Views
🗯️ Tetesi zinasema Toleo jipya la simu ya iphone aina ya kukunjwa yani iphone foldable itakua na kamera nne itaweza kupatikana katika matoleo ya rangi mbili pekee black 🖤 and white variation. 🗯️...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…