Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muandaaji wa shindano la Miss Tanzania aliyewahi kuwa Miss Tanzania mwaka 1998 amelalamikia Wizara ya Afya kukosa weledi kwa kutopeleka chanjo mahospitalini huku ikisemekana ni kutokana na Kampeni...
1 Reactions
1 Replies
245 Views
Yaani nchi yetu imekuwa ya ajabu mno siku hizi. Kila mwezi wanakata malaki ya hela kutoka kwenye mishahara ya watu kwa ajili ya bima ya Afya ya NHIF. Lakini ukienda hospitali kwa ajili ya huduma...
2 Reactions
12 Replies
914 Views
3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje? Na pia huwezi kukuta...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9 Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Jambo sijalielewa nimekutana na bei mpya ya bia nilizani ni sehemu moja nilipozunguka sehemu nyingine tofauti ndio nikaja jua bei ya bia zimepanda bei bia yetu pendwa safari ni 2500
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Wakati wapo hawa jamaaa MASOUD CZA na FETTY walikua wa hoja walikua na hamasa ya kipindi na walikua wana match sana na muda wa asubuhi akili ya kila msikilizaji iko fresh ila hawa waliopo akina...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Wengine huuita panga uzazi Kwanini uhusike direct na maafa yatakayotokea nyumbani?
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Kuna vijihoja vinasukwa kwamba REFORM chanzo chake ni udini! Swali watu walipomkataa mbowe asiongoze kwani MBOWE ni mwislam? Watu walipopinga mauaji ya ALLY KIBAO kwani Yule mzee alikuwa...
5 Reactions
11 Replies
342 Views
Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
0 Reactions
7 Replies
655 Views
MWANAFUNZI MTANZANIA ASHINDA TUNZO YA KIMATAIFA Stockholm, Agosti 29, 2025. Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mobhare Matinyi, amempongeza mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dkt. Samia ya...
3 Reactions
5 Replies
433 Views
Wakuu hope mmeamka salama. Nina jambo kidogo nahitaji ushauri ndugu zangu, Mimi ni kijana wa kiume ni mkaz wa Dar es salaam ila kwa sasa nipo mkoa wa pwani kibaha nimejiriwa na mtu binafsi...
16 Reactions
126 Replies
5K Views
Wakuu Nimeshangaa,nimepita mahali nimemuona mchina anaendesha guta,anapakia na kushusha mizigo. Huyu anaewapa vibali hawa watu vya kuja kufanya kazi ambazo zilitakiwa kufanywa na wazawa ni nani...
4 Reactions
23 Replies
981 Views
Amani iwe kwenu watanzania wote Kumeibuka tabia ya watu wengi kutokujua ni nini maana ya ushamba, na hii yote inachangiwa na watu kutokuwa na elimu vyema , hasa ukizingatia kuwa CCM wamewanyima...
4 Reactions
30 Replies
949 Views
Social media zimeleta utaratibu mpya wa trending, trend yako ikiisha, umaaruf umeisha. Leo unaweza kua unajulikana mtaani kweny tu, kesho Tanzania nzima wakawa wanakuzungumzia. Jana zamu ya Piere...
1 Reactions
7 Replies
510 Views
Yaani unakuww na siri yako unatamani kuongea na mtu ila hujui yupi sahihi inakuja swala la siri ni ya kwako peke yako akijua mwingine sio siri inaendelea kukutafuna bila kujua mwisho wake na nini...
4 Reactions
3 Replies
328 Views
Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala...
18 Reactions
125 Replies
5K Views
Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Huyu ndio paka bwana, a.k.a nyau, a.k.a zee la makonzi. Utanyukwa makofi haswa mpaka unasalimu amri. Paka ni kati ya wanyama timamu haswa kimwili, wananyumbulika kwa wepesi kama radi. Miili yao...
1 Reactions
0 Replies
274 Views
Aisee habarin Wapamabanaji Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Hii kesi utaifurahia sana hata kama hujawahi kuhudhuria International Courts of Law! Kwa wale ambao Kiingereza ni msitu, kuna muhtasari wa kesi kwa Kiswahili katika Post #2 =========== IN THE...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…