Baada ya andiko la JFKUMBUKIZI kuhusu ahadi mbalimbali zilizotolewa na Viongozi tofauti kuhusu ahadi za kushughulikia changamoto ya taasisi au vituo vya Afya kugoma kutoa miili ya Watu kutokana na...
Ndugu yako aliyekufa, anatamani kuongea na wewe, lakini wewe hufahamu njia ya kukuwezesha kuongea naye. Inawezekana mambo yamekuwa magumu na unaamini unahitaji ushauri wake, inawezekana...
Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa...
Shalom shalom
Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, amebainisha kuwa Serikali ipo katika hatua za kuanzisha Sports Infrastructure...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC...
.
Watu wengi hapa duniani wamerogwa na wengine wameibiwa nyota ama kuchafuliwa bila wao kujijua huku wengine wakifungwa katika swala la mvuto na baadhi yao wepakwa matope usoni ama kuvikwa...
Wakuu,
Mnaweza kuwa marafiki wa muda mrefu,jamaa yako akafanikiwa,lakini hawezi kamwe kukwambia ni mbinu gani ametumia mpaka kufikia hatua hiyo ya mafanikio.
Atakusaidia katika shida lakini kamwe...
Tai ndiye ndege pekee anayeishi kwa muda mrefu zaidi (miaka 70), lakini ili Tai afikie miaka hii ni lazima apitie nyakati ngumu na afanye maamuzi magumu.
Hizi ni nyakati ngumu ambazo tai...
Wapangaji 6 Wa nyumba moja walichanga changa na kununua bastola kujihami dhidi ya majambazi.
Makubaliano kuwa kwa kuwa bwana Ugoko yuko chumba cha karibu na mlango Wa kuingilia awe analala na...
Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania...
Zamani nilikua nashangaa sana navyoona watu wanaacha mapagale zaidi ya miaka 5 kumbe ujenzi sio kitu cha kukurupukia.
Millioni 10 vyumba viwili nimeishia kupaua tu
Huyu mkandarasi hadi uwezo, pesa ni ya World bank, why hamjengi mkamaliza? Kuna malori na magari madogo kama buku na kidogo. Kuanzia Visiga hadi ruvu.....
Huu usumbufu usio na maana. WORLD BANK...
Nilishasema kuwa kuna siku mtanielewa tu na kusafiri pamoja katika safari yangu ya umakini, uhakika na utumiaji mzuri wa jicho la tatu ambalo hupenda kuliita la ' Tai ' yule Ndege anayesemekana...
Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu.
Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni...