๐ญ Maendeleo ya Teknolojia yametuonyesha na kurahisisha kwa kuwajua watu Mbalimbali waliogundua vitu Mbalimbali kwenye hii Dunia yetu lakini nani anayemjua mtu aliyewahi kutoa jina la eneo...
Tanzania is the 12th most Christian Country in World!
there are 2.2 billion Christians in the world, which means one out of every four people is a Christian ...
Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote.
Sehemu ya utulivu....
Mwili
Nafsi
Roho
Akili
Mawazo
Fikra
Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda...
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imeyasimamisha magari yote ya Kampuni ya Kilimanjaro Express kutoa huduma ya usafirishaji kuanzia jumatatu kutokana na kukiuka masharti ya leseni...
Hivi kwani Sasa Rais ni nani?
Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo?
Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena?
Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana...
REA YAENDELEA KUTEKELEZA KWA VITENDO MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
๐ Majiko banifu 4,836 kusambazwa na kuuzwa kwa bei ya ruzuku mkoa wa Njombe
๐ Jiko moja kuuzwa kwa bei ya ruzuku ya TZS...
Bungeni umesikia kauli ya spika kuhusu hafahamu lolote wala hakuna utekaji kuwa hupo tanzania. hii kauli yake nayo inakuwa sawa na raisi kusema ni drama. huku jeshi la polisi matukio mengi ya...
Helicobacter Pylori ni bacteria ambao wanasadikika kusababisha vidonda vya tumbo na pia Kansa ya utumbo/tumbo, njia zake za kuambukizwa ni kupitia matumizi ya vitu vyenye vya H-Pylori kama vile...
Method Damian Kumdyanko mkazi wa Sinza Dar Es Salaam anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana wenye silaha siku ya Februari 28, 2025 nje ya geti la nyumba yake Sinza Dar Es Salaam.
Akizungumza na...
Kuna Traffic wanakaa pale Kibamba Bwawani, wanachukua elf 5 kwa kila daladala za Kutoka Kibaha.
Imekuwa ni kama mradi kwao, hawakagui magari ni konda anashuka anawapelekea elf 5 gari inaondoka...
Nyuma kabisa kwenye miaka ya 2002 bana nilikuwa copro wa kunyata kiasi kwamba hata nikikanyaga yai halivunjiki namna nilivyokuwa na nyata.
Enzi hizo bana simu zilikuwa chache sana kwenye kijiji...
Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam.
Ulomi aliyekuwa...
Baada ya taarifa za kupotea kwa Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi ambaye hakurudi nyumbani kwake toka alipoingia kazini December 11, 2024 Jijini Dar es salaam, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Nimesikitika sana kuona unyama wanaofanyiwa wanyama na wachinjaji wa Ng'ombe.
Nimeona jamaa wakichinja huku Ng'ombe wengine wakiangalia ajabu kuna Ng'ombe walikuwa wanahalisha na kulia machozi...
Hapa nazungumzia utapeli mkubwa mf. kutapeli bandari, migodi na rasilimali nyingine. Naomba mwongozo wenu tafadhali ili nijue chakufanya.
Cc Boss la DP World