Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde...
Siku ya 3 - kucha huanza kuanguka /kutoka mikono na miguu
Siku ya 4- Nywele huanza kutengana na fuvu la kichwa.
Siku ya 5- ubongo huanza kuyeyuka na wadudu huanza kula
Siku ya 6- Ngozi huanza...
USIZIME MOTO WA GESI, MAFUTA AU UMEME KWA KUTUMIA MAJI!
Maji yanaweza kusababisha hatari kubwa kama mshtuko wa umeme au mlipuko wa gesi!
Tumia dry chemical powder fire extinguisher (ABC) au...
Nimekuwa nikiambiwa na jamaa zangu kuwa nikienda benki sasa hivi niwe na tabia ya kuhesabu pesa zangu kabla ya kuondoka pale dirishani kwani wale 'Tellers' wamekuwa na mtindo wa kuchomoa pesa...
Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya...
Paulo alikiri mwenyewe kuwa ni mwongo, na hata alihoji wale waliomwona hivyo, akisema:
“Lakini ikiwa kwa uongo wangu kweli ya Mungu imezidi na kuonekana kwa utukufu wake, kwa nini bado nihesabiwe...
Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza msamaha wa miezi miwili kwa wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria, ambapo watalindwa dhidi ya mashitaka endapo watasalimisha silaha hizo kwa...
Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea.
Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara.
Ni kwa muda mrefu...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma...
Wakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi...
Kwa Nini Dar es Salaam Inaonekana Kama “Imeshafeli” kuwa jiji la kisasa(world class city) dar inaachwa mbali kiubora,mpangilio na miji kama windhoek(namibia) na gaborone(botswana) sababu ya...
Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar...
Huko kwenye page ya Mange instagram ni hatari watu wanatumbua pesa wazee, ndio maana wanapambania Kombe ili waendelee kubaki mchezoni, nimestuka Sana mtu kununu gari la Billion 20 wakati...
Mwanahabari, Fatuma Mwangala maarufu Toto Bomba ameaga dunia, vyanzo vya kuaminika vimethibitisha.
Buriani Toto Bomba, makiwa kwa familia, jamii na marafiki.
#COCOFM
#ladhayapwani
Chanzo: Pwani Fm
Onana alipata nafasi ya kuwa captain baada ya Captain wa yetu yetu kuuliwa na wachezaji ma legends ambao wana timu Yao ndani ya timu yetu
Onana kuwa captain tu kila mpira anabutua, amefunga...
Polisi mkoani Manyara bado wanamsaka mganga wa kienyeji anayetuhumiwa kutoa utabiri wa uongo uliosababisha kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne.Mwanafunzi huyo, Yohana Konki (17), alidaiwa...
Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui
Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri...
Huduma ya mabasi ya mwendokasi iliyotarajiwa kuanza leo Septemba Mosi, 2025 katika barabara ya Mbagala, imesogezwa mbele ikiwa ni sababu ya kutokamilika kwa miundombinu muhimu kama mageti janja na...
Mimi ni Mwananchi kutoka Iringa, kero yangu kubwa ni kwa IRUWA (Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iringa (IRUWASA) kuna wakati tunanunua maji token hazirudi siku moja mpaka mbili...
Kwa muda mrefu sasa, jina la Jose Mla Vichwa limekuwa gumzo mitaani, mitandaoni na hata meza za chai za ofisi nyingi hapa nchini. Ni mtu anayeonekana tofauti, mtu mwenye hamu ya kugusa, kuonja na...