Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari.
Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya...
Fikiria; Umelipia gari uzito 1900, ukabadilisha gari la uzito 2700. Unaambaiwa ucancel permit halafu usubiri siku saba na kuendelea; ndio waruhusu kuitumia tena hiyo hela.
Fikiria una wageni 12...
Wadau angalia wenyewe ushuhuda huu. "Maryam akaashiria kwake (yule mtoto wamuulize yeye). Wakasema:“Tutazungumzaje na aliye bado mtoto kitandani? (19:29)
(Yule mtoto) akasema: “Hakika...
Isa 54:17 SUV
[17] Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa. Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA, na haki yao...
Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Hasalaam aleku.
Nimeona nami nitie neno kidogo kwa mahitaji ya wakati.
Hapana sili ya kwamba Tundu Lissu is a legend. Tunaweza kukataa kwa sababu za uchawa na vitu kama vile. But in reality...
Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika.....
"Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi...
Wakuu habari za mida hii, wanasemaga usiache fursa ikapita bila kuichungulia, hichi ni kipindi cha kampeini na uchaguzi
Tunaomba basi ajira za kuhamasisha watu kupiga kura iwe nyumba kwa nyumba...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila) imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa Wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo, kufuatia taarifa zinazozunguka...
[Yoh8:2]Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.
[Yoh8:3]Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika...
Leo hii Polepole ni shujaa. Leo hii Magufuli naye anakumbukwa.
Yani tunasahau haraka sana. Tunasahau uchaguzi wa 2020 ulivyokuwa uchafuzi.
Tunasahau Lissu kunyanyaswa kila mara kukamatwa kutiwa...
Unaambiwa ukishaajiriwa, ni sawa na kuwa umejisajili kuwa mtumwa, hata ukiacha kazi ili ujiajiri, huwezi kupata pesa yako iliyo mifuko ya hifadhi ya jamii. Itakubidi usubiri hadi miaka 55 ili...
I salute you kinsmen.
Mara baada ya UDOM kuwa na mkuu mpya chuo kuna mabadiliko makubwa kwa wadogo zetu wanafunzi wa ualimu ndaki ya elimu (college of education)
Inaonekana ni mapendekezo ya...
WAKAZI wa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam wameshangazwa na rafu wanazofanyiwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC) hali ambayo inawashangaza na kutojua hatma yao.
Wakazi hao...
Poor Brain hii harakati yako ya mishangazi ipo fueled na uraibu ulionao juu yao au basi tu ni hobby? 🤣
Lucas Mwashambwa weka siasa pembeni, sema tu kitu kimoja ambacho unachokikubali kuhusu Tundu...
Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai.
Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende...
Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Mwatulole Kata ya Buhalahala mkoani Geita, baada ya watu wasiojulikana kumchoma moto mtoto Mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na siku mbili, aliyetupwa...
Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli
Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na...