Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimemsikiliza mjeda huyu, ndugu, na POLEPOLE. Kuna mahali ametaja Mdude ni miongoni mwa watu kadhaa wanaoshikiliwa mahali fulani. Itoshe kusema kama yupo hai basi Mungu wa Mbinguni ahimidiwe na...
8 Reactions
45 Replies
661 Views
Kitabu hiki kina hazina zilizofichika kwa wengi. Waswahili wanasema kizuri, kula na mwenzio. Leo napenda kukushirikisha baadhi ya faida nilizozipata baada ya kuanza kusoma Kitabu hiki na ku-apply...
21 Reactions
55 Replies
859 Views
Katika mitandao yote kwa hapa Tanzania ni JamiiForums tu ndio utakuta nyuzi na majadiliano magumu yenye kufikirisha bongo na hata kuumiza akili. Mitandao mingine yote ukiondoa wanaharakati...
7 Reactions
5 Replies
101 Views
Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni...
11 Reactions
27 Replies
799 Views
TANESCO ni nini hiki mnatufanyia wakazi wa Mbezi Beach? Kila baada ya dk 5 mnakata umeme, mnarudisha mnakata tena! Ni mazoezi ya utayari kupokea El Nino, vile mtakavyokuwa mnachezea switch...
5 Reactions
35 Replies
554 Views
Anonymous
Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu… Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu...
11 Reactions
139 Replies
1K Views
Tafadhali mheshimiwa sana rais Samia ulipata ushindi wakishindo wa 98% tafadhali tumia gari la wazi kuhutubia au kwenye viwanja vya wazi tukuone. Kuna jambo natamani kunena nawe kwa vitendo...
3 Reactions
17 Replies
178 Views
kwamba nina miaka 40 sina gari wala nyumba lakini leo chuo kikuu cha mzumbe nimehitimu shahada yangu ya tatu na kutunukiwa PHD....je haya sio mafanikio...
11 Reactions
35 Replies
459 Views
Maisha yanaenda kasi sana Mara nyingi huona baadhi ya mabosi kudate na vibinti kwenye Ofisi Unaweza kudhani ni bahati mbaya ila wengi wanafanya kwa agenda maalum 1.Hupata taarifa za pamoja...
10 Reactions
48 Replies
710 Views
Usiku wa manane, unashtuka kutoka kwenye usingizi mzito ukiwa unavuja jasho na moyo unakwenda mbio. Kwenye ndoto yako ya kwanza, unajikuta umekaa tena kwenye benchi la mbao darasani. Saa ukutani...
2 Reactions
21 Replies
226 Views
Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi...
7 Reactions
121 Replies
2K Views
Diwani wa Kata ya Bondeni Manispaa ya Moshi Mheshimiwa Haji Fundi Haji ametoa rai kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza kwenye Kata ya Bondeni na kwamba Kata hiyo ni salama . Ametoa rai hiyo...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Hellow Great Thinkers! The LORD is good!!! Karibuni ibadani... Cc.... Mallerina
5 Reactions
16 Replies
146 Views
Aliyekuwa Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Mama Fatma Karume amefariki dunia leo, Septemba 21, 2026. Taarifa ya kifo cha Bi.Fatma imetangazwa rasmi na Makamu...
3 Reactions
13 Replies
465 Views
Wakuu kwema Nimeona CRDB wamekuja na Kitu kinaitwa Kopa ngombe Ulipe maziwa ambacho kiko run na CRDB foundation, Millard ayo ameenda Kufanya Covering ya Hio promotion Ajabu ni kuwa issue Hii...
5 Reactions
26 Replies
333 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amewakabidhi wananchi hatimiliki leo tarehe 25 Septemba, 2026 jijini Dodoma wakati wa Kliniki ya Ardhi inayoendelea mkoani...
1 Reactions
1 Replies
89 Views
Nimeshangaa mbunge wa gairo kukopesha pikipiki 300 kwa vijana jimboni kwake, kwahiyo pikipiki ndio imekuwa ajira rasmi? Mbona kama kwa upeo wangu ni kama tunaenda kuliangamiza taifa? Mwaka jana...
8 Reactions
32 Replies
888 Views
Back
Top Bottom