Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1 Reactions
4 Replies
61 Views
Anonymous
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dodoma Mjini tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji, ambapo maji hayajatoka kwa takribani mwezi mmoja sasa. Tatizo hili limekuwa kubwa zaidi katika...
0 Reactions
4 Replies
99 Views
Kuna memba mmoja humu niliwahi mjibu nikwambia asije akadanganyika na hao wanasiasa kwamba kila mkoa kutajengwa viwanja vya ndege, haiwezekani hata siku moja jamaa kama alipaniki sana. Marekani...
25 Reactions
67 Replies
2K Views
Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi. Ahsante kwa waliotuacha walipopata...
2 Reactions
9 Replies
85 Views
Kitabu cha Asili ya majini ukurasa wa 20 kimeandikwa na Sheikh Ahmad. Nanukuu "Ni bahati mbaya kwamba Adam na Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha Shetani na wanaye kuomba msamaha...
8 Reactions
119 Replies
1K Views
Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria. 27/09/2026 Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati Hii inaathari gani ?
2 Reactions
27 Replies
394 Views
Sekta ya utalii nchini Tanzania ilifunga mwaka 2025 kwa mafanikio makubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa Utafiti wa Wageni Wanaotoka Nje ya Nchi (International Visitors' Exit Survey) mnamo mwaka 2001...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous
Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Anonymous
Habari ni takribani mwezi mmoja na nusu inakaribia miezi miwili ambapo kiongozi wa nchi alizindua Mwendokasi kutoka Mbagala hadi Morocco, lakini hadi leo hamna safari ya Mbagala hadi Morocco...
2 Reactions
2 Replies
128 Views
Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko...
25 Reactions
396 Replies
5K Views
Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF! Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau...
3 Reactions
12 Replies
147 Views
JUMATATU PAMEKUCHA. 🔥 Kuna watu wameamka leo wakiwa na mipango. Kuna wengine wameamka na madeni. Wengine wameamka na mawazo ambayo hawawezi kumwambia mtu yeyote. Lakini kuna jambo moja wote...
4 Reactions
10 Replies
124 Views
  • Redirect
#Hali ni mbaya Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El Nino nchini inaendelea kuimarika, huku kilele chake kikitarajiwa kufikiwa katika kipindi cha Novemba na Desemba. Ofisa Habari wa TMA...
0 Reactions
7 Replies
225 Views
Shule zilitufundisha kushindana. Kujua umefaulu na hivyo ufurahi kwa kiwango gani ilikuwa lazima ujue kwanza umekuwa wa ngapi kwenye orodha ya mwalimu. Thamani ya alama zako ilitegemea alama...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Kikatiba vyombo vya ulinzi na usalama sio Mali ya CCM ni Mali ya umma, Vinaendeshwa Kwa Kodi za Watanganyika wote wawe CCM, chadema, CUF na wasio na Chama. Sio sawa kusema ni Mali ya CCM...
7 Reactions
34 Replies
470 Views
Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira...
0 Reactions
1 Replies
31 Views
Anonymous
Wakuu, salaam. Leo, tarehe 27 Septemba 2026 majira ya saa 1 usiku, nilikumbana na tukio ambalo nimeona ni muhimu kulishirikisha ili watumiaji wengine wa huduma ya parking katika Hospitali ya...
1 Reactions
1 Replies
49 Views
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, fuatilia mijadala mbalimbali katika kuadhimisha siku hiyo... Ernest Sungura Pia soma ~ Kuelekea Maadhimisho ya IDUAI 2026...
1 Reactions
2 Replies
137 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…