Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wahenga walisema penye nia hapokosi njia, hatimae leo tunashuhudia jambo jipya na ambalo unaweza kufikiri haliwezekani, Timu ya vijana 13 wa kitanzania mkoani Morogoro wamefanikiwa kupaa angani...
3 Reactions
38 Replies
1K Views
Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani... Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Ndoto za wachawi ni tofauti kidogo na ndoto takatifu. Wachawi wanapo hitaji kuona sehemu nyingine wanafanya nini na wanasema nini, Huwa wanalala ubavu mmoja upande wa kushoto kwa jina la mungu wao...
1 Reactions
3 Replies
311 Views
NRNE Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa. Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
Haikuwa ni bure kuwapatia uongozi wanaume juu ya wanawake ndani ya Uislamu. Huu ni uongozi wa kimaumbile ambao unakubalika ndani ya makabila na mataifa mengi duniani; kwamba mwanamme ndio mkuu wa...
6 Reactions
17 Replies
671 Views
Wakuu nimesahau kuchukua risit ya mafuta gar la kampuni kama Kuna mtu ana mawasiliano na sheli iliyo lewate naomba mawasiliano
2 Reactions
13 Replies
575 Views
Tomorrow at 6 pm they are ending WhatsApp and you have to pay to open it, this is by law This message is to inform all of our users, our servers have recently been very congested, so we are asking...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za muda huu wadau wa jf hapa labda twende kenye kinaga ubaga Isingekuwepo ujio wa mataifa ya mashariki na mataifa ya kaskazin mwa dunia kujakufanya kilimo, uchimbaji wa madini na zile...
4 Reactions
11 Replies
586 Views
Kiukweli mimi nina marafiki wachache sana wa Kibongo. Most of my friends ni kutoka nje. So nikawa najisikia vibaya kuwa wananchi wataniona mimi beberu.Nikaamua nisiache kabisa jichanganya na ndugu...
54 Reactions
108 Replies
14K Views
Historia za jamii zilizo na legacy ya utajiri au mafaniko makubwa ya kifedha na mali zisizohamishika imetokana na wao kuwa aggressive katika kushinda ushindani, kuchukua kwa nguvu kwa wale walio...
12 Reactions
44 Replies
1K Views
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport. Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata...
0 Reactions
141 Replies
21K Views
Wadau, Kwa atakayevutiwa, kusoma habari kamili ajipatie nakala ya 'The Citizen' la leo [23/10/2012] wakiwa pale front page kuna habari kwa kirefu kwa kichwa cha habari cha hapo juu kuhusiana na...
45 Reactions
51 Replies
6K Views
Hii sio kauli yangu, bali ni takwimu tena toka vyanzo vyao vya huko Mecca, Angalieni hizo takwimu hapo.....tena hapo nadhani wamejipendelea.... Halafu ukiwaambia wao ni minority hapa Tanzania...
4 Reactions
190 Replies
8K Views
Wake kwa Waume habari zenu. Hivi benki gani ambayo haifanyi kazi kuanzia ALHAMISI, IJUMAA, JUMAMOSI NA Hakuna uhakika pia kama itafanya kazi Jumatatu. Hii ni Pemba yote, Unguja na hata mikoa ya...
10 Reactions
70 Replies
4K Views
Ni kiongozi wa Sauti ya Watanzania (Diaspora) muda mwingi Makazi yake yako Dar es Salaam, Uchaguzi wa ndani ya Chama uliopita Januari 2025 ni Miongoni mwa Watu waliokuwa Front line kumfanyia...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025...
1 Reactions
11 Replies
646 Views
WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Pombe feki mtaani imekuwa jambo la kawaida sana siku hizi Yaani unaweza kupata chupa ya Hennessy na box yake Kwa elfu 40, hii inakuwa na ladha Ile Ile ni ngumu Kwa mtu wa kawaida kuzitofautisha...
8 Reactions
91 Replies
3K Views
Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie...
9 Reactions
80 Replies
3K Views
Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana Kodi -200k Usafiri-200k Chakula 200k Umeme -30k Maji -30 Matumizi binafsi-200k Savings 100k Yaani huyu ni mtu...
20 Reactions
195 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…