Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Muda mwingine serikalini kuna watu wanashangaza hawaoni kuwa wameipa Promo JF ya bure Ebu tazamane maudhurio yalivyo Makubwa Leo muone wenyewe.
3 Reactions
13 Replies
754 Views
Natumia TRUECALLER
5 Reactions
7 Replies
492 Views
Hamjambo tafadhali? Msaada tafadhali. 1. Shule ya Kibaha Sekondari (boys, ile special) ipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani?!!! 2. Chuo Cha st. John, tawi la st marks (pale buguruni malapa)...
1 Reactions
5 Replies
358 Views
Huu uzi unahusu matukio yoyote yaliyotokea mwaka 2004, basi na wewe mwanajukwaa andika hapa tukio lolote lililotokea mwaka 2004. Mimi nitaanza na tukio la shindano la kutafuta vipaji vya waimbaji...
8 Reactions
124 Replies
48K Views
Wakuu, nawaza hii sijaipata jibu.. kwanini hawa madiwani(baraza la madiwani walikubaliana kuhamisha hii Halmashauri kwenye huu mji mkongwe wa Kilwa Masomo..? Sehemu ambayo idadi ya watu ni kubwa...
3 Reactions
12 Replies
700 Views
Tangia kuzaliwa kwangu sijawai kuona kampuni ya ajabu kama hii ya halotel Hawa jamaa Internet yao ni slow labda uwe karibu na ofisi zao. Internet inaweza kugoma muda wowote na hawana maelezo ya...
11 Reactions
41 Replies
1K Views
"Wapiganaji wenzetu tuwe imara, ushindi wetu ni mkubwa sana. Hii nchi tunaitaji kuinyoosha, na tutainyoosha”-Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche.
5 Reactions
9 Replies
535 Views
UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21 Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi...
3 Reactions
4 Replies
610 Views
Hili andiko Lina utata mkubwa sana. Sita nukuu maandiko badala yake soma mwanzo sura ya kwanza na sura ya pili zote. Maandiko yanatuambia baada ya Mungu kumuumba mwanamme (Adamu) badae alisema si...
5 Reactions
110 Replies
2K Views
https://youtu.be/9h2Wcmrhpi0?si=WUNWjkcRJ20Ftjr-
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Isa 58:1 SUV [1] Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. Tarumbeta kilikuwa ni kifaa kilichotumika kutangaza mazuri na...
1 Reactions
2 Replies
271 Views
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, kwa mamlaka aliyonayo, chini ya kifungu cha 3(1) cha sheria, sura ya 293 marejeo ya 2023, Anawatangazia wananchi wote wa Jiji la Dar es Salaam...
3 Reactions
13 Replies
611 Views
Anonymous
Kwa masikitiko makubwa naomba mtusaidie watu wa Kijiji Kyamarange na Kata Rubafu kwa ujumla kutokana na matukio yanayoendelea huku kwetu. Kuna matukio ya Mauaji ambayo hatupewi majibu yoyote na...
2 Reactions
3 Replies
368 Views
Anonymous (f995)
Jaman hebu tazameni katika suala la taksi Mtandaoni hasa huduma ya Bolt. Madereva wanalia 😢 sana kisa commission zao, na ni kweli ni kandamizi sana, 25% ya nauli kweli 😢 kwa mfano safari ya Sh...
1 Reactions
5 Replies
547 Views
Anonymous (c888)
Huku Mitaani kwetu Tunduma maeneo ya Mpemba kuna Mtaa unaitwa Mlenda, Balozi wa mtaa anachangisha Shilingi 5,000 kwa Wananchi akidai ni kwa ajili ya kujiandikisha kwenye mtaa wake. Je hii ni sawa...
1 Reactions
4 Replies
314 Views
Anonymous (a105)
Hii ni moja ya daladala ambayo ipo hapa Jijini Dar es Salaam, hapa si abiria anadondoka kabisa, kama ni mtoto ndio kabisa. LATRA na Trafiki ambao kila siku kaiz yenu kubwa ni kupiga faini kwenye...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Wanajamvini Poleni sana, imenibidi ninunue VPN nzuri ambayo nalipia 81,000 Kwa mwaka. Sasa Enyi ndugu zangu , tunajua na tunaona kabisa kipato Cha wa wasanii wengi ni Cha kati au ulala hoi...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
https://youtu.be/aelk3E55QHA?si=n_yvK4_P-DV6jWtd Na Mwandishi Wetu Mjadala kuhusu mustakabali wa bandari nchini Tanzania umekuwa ukivutia hisia kali katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na...
2 Reactions
13 Replies
798 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema katika kipindi cha Mwezi Julai na Septemba 7/ 2025 Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata...
1 Reactions
3 Replies
391 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…