Habari za leo wakuu,
Natumai mnaendelea vizuri ndugu zangu.
Nahitaji kujua cadet (kadet) za ubora wa juu (high quality) zinazouzwa Tanzania zinatokea nchi gani?
Pia nahitaji kujua aina za cadet...
Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione...
Tunafahamu fika kwamba Nchi yetu inaongozwa na Mihili mikuu mitatu, Ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama.
Mihimili hii yote mitatu inalo jukumu na wajibu wa kuhakikisha kila Mtanzania anaishi...
Mnamo 30 Juni 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipitisha Sheria ya Fedha Na. 11 ya 2025 (Sheria ya Fedha), ikileta mabadiliko muhimu katika sheria kadhaa, ikiwemo Sheria ya...
Niende bank na begi mgongoni
Niingie “bulk cash” room
Hili namwambiaga Mungu casually tu
Je wewe ni ombi gani ambalo ukichat na Mungu mara kwa mara unamwambia yaan bila kelele
Wakuu kuna hili jambo linanitatiza sana jee ni kweli kwamba maharage ya njano ni GMO?
Maana nimesikia watu wakisema hivyo na kudai haya maharage hayakuwapo kabla
Wengine wanadai yanaleta sukari...
Habarini,
Ni wazi bima ya NHIF inaubaguzi na wananchi wa kawaida hawawezi kumudu gharama zake hivyo ni vyema ikaitwa bima ya watumishi wa serikali ikaeleweka moja.
Sielewi ni kwanini serikali...
Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo...
Poleni mnaoishi hapo Tanzania aisee mna moyo hivi mnawezaje kuishi hapo kwenu Bongo na vumbi hilo la kwenu? Kiukweli mimi nilikuja likizo kutoka yues ila baada kuona napigwa na vumbi nikasitisha...
Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika Serikali ya Awamu ya Nne, Lazaro Nyalandu, amesema kuwa safari yake katika mikoa ya Singida, Tabora, Kigoma na maeneo mengine kumnadi mgombea urais...
Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?
Viongozi wanawaza nini...
Aiseeeh, nafikiri huyu mzee anawapima aone anaweza kuwakasirisha kiasi gani.
Inakuwaje mkuu wa mkoa, anaongelea habari za wanaume kuhonga na kuwahamasisha wafanye hivyo kwenye kikao na watumishi...
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua rasmi Hatifungani ya Stawi, programu ya muda wa kati ya kiasi cha Bilioni 150 za Kitanzania, ikiandika historia mpya katika ukuaji wake na kuingia kwa...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia kanuni zake mpya za mwaka 2023 imefungua ukurasa mpya katika biashara ya kubadilisha fedha za kigeni. Kwa mara ya kwanza, maduka ya kubadilishia fedha...
Wabongo wa vijiweni wanatabia ya kubeza sana usafiri wa watu wengine utasikia vitz sio gari , ist ni bajaji halafu huyo anayezungumza hivyo ukimkuta ndani ya mwendokasi utamuonea huruma
SAKATA la Halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya, baada ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa...
Hivi mamlaka hazioni au ndo zimeshindwa kuwa-manage maana imekuwa kero kero, wanasababisha ajali tena katika zebra wameigeuza barababara ya mwendokasi kama yao special
Kama Serikali inashindwa...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya, ameeleza kuwa kuna dhana potofu iliyojengeka miongoni mwa Watanzania kuhusu Kikosi cha Kutuliza Ghasia, Field Force Unit (FFU), ambacho watu...
Kuna taarifa inasambazwa kwenye mitandao ya Kijamii yenye kichwa cha habari kinachosomeka "ABDUL NA KUNDI LAKE WAMTEKA MWANDISHI WA HABARI WAMNYONGA NA KUMTUPA MTO JANGWANI".
Maandishi hayo...