Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale...
6 Reactions
10 Replies
484 Views
Ule muda wa ukombozi nadhzani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa Tanzania kama hii huu ndo ule muda wa kuwakabia kwa juu nb. Kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
2 Reactions
26 Replies
855 Views
Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto. Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza...
1 Reactions
3 Replies
348 Views
Ni mara chache hutokea ukanunua kiwanja kwa ajili ya ujenzi kisiwe na migogoro, aidha kwa aliyekuuzia au jirani yako akasogeza mpaka ili mradi mgogoro utokee, Wakati mwingine unaweza kuuziwa...
7 Reactions
79 Replies
3K Views
Serikali ya Afrika Kusini imetumia Tsh. Milioni 175 sawa na (R1.4 milioni) kukodi ndege kutoka Tanzania hadi Afrika Kusini kuwarejesha wafungwa Thabo Bester na Dk Nandipha Magudumana waliokamatwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yamenikuta sijui hata nisemeje. Watanzania sisi watu wa hovyo sana. Mtu nimeamua kukupa nafasi ya kulipwa kila mwezi ila wewe unaharibu biashara. Yaani leo kama niliwahi kuwasema vibaya...
38 Reactions
137 Replies
5K Views
Kwanini wakafuata reli ya zamani toka ITIGI mpaka Tabora si wangeileta SINGIDA mjini ambapo wangepata wateja wengi na ikaendelea mpk tabora.
1 Reactions
2 Replies
260 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Yeah kama wasiojulikana walivyosema comments, hashtags hazibadilishi chochote (Nimeparaphrase tu, ila ndiyo point yao ya msimu). Ni pesa zenu, ni jasho lenu,mnaogopa nini kwenda ofisi za CRDB na...
1 Reactions
4 Replies
477 Views
Umoja na utulivu wa nchi za magharib zilitokana na iman zinazofanana kama Ukiristo, kua na adui mmoja kama ugaidi (islam), au kipindi cha uadui na Soviet Union. Hili lilifanya propaganda za...
1 Reactions
2 Replies
239 Views
Tukubali kuwa mfumo wa vyama vingi uchaguzi huu umeonesha kufeli na kwamba wanatuchezea akili kwa sababu kila ninakopita mabango ninayoyaona ni ya CCM tu kwanzia mgombea wa Urais, wabunge hadi...
0 Reactions
1 Replies
212 Views
Wakuu, Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum. Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na...
24 Reactions
126 Replies
6K Views
Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Leo nilinunua kifurushi cha intaneti kwa njia ya mpesa. Muamala ukatoka freshi, intaneti ikashika. Ghafla nikaletewa ujumbe ukisema salio langu halitoshi nichukue mkopo wa Tsh. elfu 4!🤔🤔 Bahati...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Habarini wakuu, Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Mpendwa wetu Kato Katunzi usiku wa kuamkia leo kafariki dunia kwa ajali mbaya ya gari. Mipango ya maziko inafanyika. Taarifa nyingine zitafuata... ==== Kato Katunzi amepata ajali na kufariki...
5 Reactions
155 Replies
48K Views
Nimepost mada nyingi sana za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa Ujenzi na makazi Biashara na ujasiriamali Hapa habari mchanganyiko Jukwaa la picha Chitchat Mapishi Urembo na utanashati...
12 Reactions
255 Replies
6K Views
Maisha ni safari ambayo unakutana na matukio mengi njiani , muombe Mungu mabaya uliyowahi kuyasikia yakiwakuta wengine wewe yasikukute na pia usifurahie matatizo ya wengine maana kesho yako ni...
3 Reactions
6 Replies
474 Views
Ajira za halmashauri nizahovyo sana naweza kusema ni mtu duni asiyejiweza kujitetea ndie atakubali kufanya kazi hizo, hapa nazungumza kwanzia mwalimu mpaka mwanasheria wa halmashauri wote hamna...
45 Reactions
189 Replies
11K Views
Wasalaam ndg zangu Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi...
9 Reactions
125 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…