Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna Watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha...
Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli.
Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali...
Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati...
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa...
π MWENDELEZO WA ELIMU ZA SIRI π
NAMBA, MAUMBO NA ISHARA
sehemu ya 1οΈβ£
Kwa wiki tatu mfululizo tumekuwa tukijifunza Elimu ya Namba, tukiona jinsi namba zinavyobeba...
Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??.
Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua...
Leo acha NIWAPE Cha uvunguni kabisa wajukulu wangu π΄πΎ π΄πΎ ambacho watu wachache wanacho ila wamekificha Mimi sina baya .
SIRI ZA MAANDIKO: UTAFSIRI WA NDANI (CODED LANGUAGE)...πππ
Utangulizi...
Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa...
Tumsifu Yesu Kristo!
Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo.
Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na...
Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia...
Yer 20:18 SUV
[18] Nalitoka tumboni kwa sababu gani, kuona taabu na huzuni, hata siku zangu ziharibike katika aibu?
Uchungu mzito ulimvaa nabii Yeremia, uchungu uliosababishwa na mateso mengi...
Habari zenu wana jf! natumai ni wazima wa afya.
Nimejikuta muhanga katika changamoto hii iliyojitokeza kwa wahitimu wa mwaka wa masomo 2023/2024 kwani vyeti vya matokeo( academic tanscript) kwa...
Wakuu,
Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na...
Lucas Mwashamba ambaye nashangilia kuhusu ufungwaji wa vyombo vya habari ila ni mmoja kama walivyo idara kubwa za serikali wakitaka kuonesha comment ni kimya.
Hawa watu wanatumia mamilioni ya...
Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh!
Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au?
Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
Nilikuwa na PROJECT ambayo ninge launch tar Saba mwezi huu ila sababu ya uchaguzi na Yale yanayo endelea nchi I nikaona nisitishe ili nisiwe miongoni ya watu wanao watoa kwenye reli Kwa masilahi...