Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Stori ya Humphrey Polepole kutekwa naona inazidi kushika kazi ndugu zangu, kuna sehemu nimekuta hii screenshot, je inawezekana ni kati ya vitu vilivyomfanya akanaswa? Namba ya simu inayotajwa...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa...
3 Reactions
6 Replies
307 Views
Jana nimefuatilia habari ya kifo za Raila Odinga, jambo nililoona la tofauti ni namna demokrasia ilivyokua nchini Kenya. Viongozi wote bila kujali vyama wanaomboleza na kuelezea mema ya Raila...
2 Reactions
6 Replies
291 Views
Kila mtu ana breaking point. Kila safari ina kituo cha mwisho Kuna wakati Tiktok ilikuwa kichaka cha wavulana chapati na masista du, ila ghafla pamekuwa kituo cha revolutionary minds. HONGERA SANA!
3 Reactions
8 Replies
321 Views
Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Yer 25:10 SUV [10] Tena, nitawaondolea sauti ya kicheko, na sauti ya furaha, sauti ya bwana arusi, na sauti ya bibi arusi, sauti ya mawe ya kusagia, na nuru ya mishumaa. Ujumbe huu ulikuja...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
5 Reactions
11 Replies
531 Views
Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu...
14 Reactions
92 Replies
8K Views
Serikali makini ingeweza kusisimamia kwa ukamilifu ingeweza kuokoa mabilioni ya wananchi maskini wenye matatizo ya kila aina. Lakini iko kimya kabisa! Je kuna namna serikali inanufaika na hizi...
31 Reactions
66 Replies
4K Views
Ni kifaa Gani ambacho unaamini kikipita kwa fundi kinakuwa kimeshuka ufanisi? Watanzania wengi wanaamini kitu kikishafunguliwa tu basi kinakuwa sio Bora je ni wapo sahihi?
2 Reactions
10 Replies
366 Views
Baada ya kuondoka kwa Yesu (amani iwe juu yake), wanafunzi wake waliendelea kushikamana na ujumbe wake wa kumpwekesha Mungu. Walikuwa Wayahudi wa kawaida, wacha Mungu, ambao waliendelea kufundisha...
4 Reactions
63 Replies
2K Views
Yaani watoto kutoka saa kumi na mbili wanasubiri usafiri hadi saa mbili hii
1 Reactions
10 Replies
377 Views
Siwashangai Ghana kuwapa miezi miwili hawa peremende kushusha bei ya vifurushi vyao au waondoke nchini humo. Hawa jamaa ni pure trash🚮🚮 Wanachouza ni ile status ila kiukweli hizi contents zao...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Wadau, kizazi ambacho kwa maoni yangu ni kizazi bora zaidi kuwahi kuzaliwa ni wale waliozaliwa kati ya mwaka 1988 hadi 1997. Kizazi hiki ndicho kilichokulia kipindi cha mpito mkubwa: Tulianza...
21 Reactions
73 Replies
2K Views
A report issued by the World Health Organization states that the Ebola outbreak in West Africa was the largest and most complex since the detection of the virus in 1976. The outbreak reached an...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Hivi kuna uwezekano serikali ikaufungia mtandao wa 'X' (Twitter), lakini bado viongozi wake wakawa wanaendelea kuutumia kwa ku post na kufiatilia taarifa mbalimbali ikiwemo kuendelea kufanya...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi wakuu,wale wakubwa zangu Shikamoo Mshana Jr ,Shikamoo ndugu yangu wa muda mrefu GENTAMYCINE ,mambo vipi mdogo wangu rikiboy Mzee wa kula Tunda kimasihara, Kiufupi ndugu yenu...
35 Reactions
52 Replies
3K Views
POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI. Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa “Ukweli ni mchungu na...
9 Reactions
20 Replies
983 Views
Sijajua ni nani ni wapi ni lini na ni kwanini Ila nimeona ni kivipi msafara ule ulivyozua taharuki kwa wanausalama, na waongozaji wakiwa katika hekaheka, kiasi kwamba wako baru wasijari hata...
5 Reactions
16 Replies
798 Views
Yer 23:23 SUV [23] Mimi ni Mungu aliye karibu, asema BWANA, mimi si Mungu aliye mbali. Zamani katika agano la kale Mungu alionekana yupo juu mbinguni, na mara nyingi alizungumza na watu wake...
2 Reactions
8 Replies
367 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…