Jamii hasa vijana, wamekumbushwa kutambua kwamba tunu ya pekee katika taifa ni amani, upendo na mshikamano hasa katika kipindi hiki kuelekea zoezi la kupiga kura na kwamba ni jukumu la kila mmoja...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Wilson Elias Mulumbe, amesema miongoni mwa mikakati yake endapo atachaguliwa kuwa Rais ni...
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza, Askofu Charles Sekelwa, amewasihi Watanzania kwenda kupiga kura, akibainisha kwamba kutaka kufanya fujo na maandamano siku ya kupiga kura ni...
1.umeme unakata kwa siku zaid ya mara 10
2.tozo ziko direct snaa had mama muuza nyanya anafeel
3.petroli 2500
4.unga 1300
5.machinga tupa kule
6.tozo kwenye umeme
Hivi vitu vyote vinamgusa moja...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linamshikilia padre Jordan Kibiki wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mafinga, kwatuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na watu wasiojulikana. Kamanda wa Polisi mkoa...
Hii siku hakuna wanayoyajua hata waliopo madarakani wanatamani kujua ila hii siku imebeba mengi mno.
Ila pia maandamano yamekuwa maarufu kuliko hata uchaguzi wenyewe sasa
Huu uchaguzi lazima...
Kwahiyo ukiboresha maeneo ya vijiji ndio suluhu la vijana kuyasaka maisha mijini?
Hizo ni sera za uongo hakuna kitachofanikiwa! Na katika utafuta wa maisha ni maono ya mtu tu ndio maana kuna...
Baada ya uchunguzi wa kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika sakata la nyumba, Alice Haule aliyedaiwa kuvamiwa na watu waliotaka aondoke kwenye nyumba hiyo kuwa iliuzwa na...
Wagombea muombeane heri!. Maana hivi vifo vinazidi sana. Na kunagharama mtu alishazifanya za kampeni na mambo mengine so uchaguzi unapoharishwa kuna mambo yanabadilika kabisa!
===============...
Idadi ya SMS ndani ya nchi imeongezeka kutoka SMS bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 hadi kufikia bilioni 52.9 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 0.2.
Kwa mujibu wa ripoti ya...
Watatafuta kila sababu ya kupoint kila kitu hakiendani na itikadi yao., hata AMANI? 😯
Watalaumu system na utendaji hauwendani na mafundisho ya itikadi yao thus wabadirishiwe au waliamshe.
Its...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Saidi Mtanda, ameisihi jamii ya Kitanzania kuwaepuka watu aliowataja kufanya uchochezi wenye lengo la kuvuruga amani katika taifa, akisema ikiwa jamii na viongozi wataruhusu...
Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa.
NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA...
Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1.
Kwa mujibu wa ripoti...
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter), Fortunatus Buyobe ameitag taarifa ya SwahiliTimes kuhusu Mjane kurejeshewa umiliki wa nyumba aliyoilalamikia hivi karibuni, kisha Buyobe akaandika:
Kamishna...
Serikali isikie kilio cha abiria wanaotumia Reli ya TAZARA, wanapitia changamoto zisizoelezeka kutokana na ubovu wa mabehewa, tuliahidiwa mabehewa mapya lakini hadi sasa kimya na muda unazidi...
Hapa Rumonge ni Mji cool sana. Usiku,maeneo mengi yapo dull na low activities unless kwenye kumbi za kujirusha.
Data, ipo chini sana buku tano ya Tz unaweza peruzi mwezi mzima.
Kidnappers, ni...
Ilivyokuwa
Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, imezipiga marufuku Hospitali zote nchini kumdai fedha Mgonjwa wa dharura kabla ya kutoa huduma.
Hayo yameelezwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.