Baada ya nchi kukombolewa, mitandao ya simu itakayofunga internet kuelekea uchaguzi inapaswa kufunguliwa mashtaka.
Kwanini unawazimia watu milioni 70 mawasiliano, kisa watu wachache? kisa siasa...
Wakuu wa Jf nawasalimu na poleni kwa Majukumu ya kila siku.
Kwanza kabisa moyo wangu uko na upweke kwa mambo yanayoendelea Nchini kipindi hiki cha uchaguzi binafsi sipendezwi na kwa kiasi mpka...
Chama cha Waalimu Tanzania (CWT) kimekanusha vikali taarifa zinazosambazwa kwenye baadhi ya mitandao nchini na baadhi ya vyombo vya habari zikihamasisha waalimu kutoshiriki kwenye uchaguzi Mkuu wa...
Mfuko wa Maendeleo wa China na Afrika (CAD-Fund) ulianzishwa kwenye juni mwaka 2007, kwa lengo la kuitikia mahitaji ya ukosefu na fedha na uwekezaji kwenye miradi ya maendeleo katika nchi za...
Kwa kiswahili na Kiingereza
🪐 Muhtasari wa Jumla
Kitabu hiki, kilichochapishwa mwaka 1992, kinazungumzia tofauti za kisaikolojia na kihisia kati ya wanaume na wanawake katika mahusiano.
John...
Yer 32:27 SUV
[27] Tazama, mimi ni BWANA, Mungu wa wote wenye mwili; je! Kuna neno gumu lo lote nisiloliweza?
Licha ya kwamba kulikuwa na hakumu inakuja Yerusalemu, Mungu aliwathibitishia kuwa...
Niaje waungwana
Siku ya leo ningependa kuangazia wizara 2 ambazo ni ngumu kiutendaji, na zinahitaji mtu aina ya Magufuli kuziongoza ili zilete ufanisi, au matokeo chanya kwa wananchi na serikali...
Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Shaban Jumbe amewataka wananchi wa Wilaya ya Karatu kuendelea kutunza amani na utulivu huku akisisitiza kuwa jukumu la kulinda...
Akizungumza katika kipindi cha radio Gospel Traxx Clouds FM Apostle Nick Shaboka ametaka Watanzania kwa pamoja kuilinda amani kwani Tanzania ni muhimu kuliko kupigania matakwa au ndoto za mtu...
Yer 33:3 SUV
[3] Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.
Yeremia akiwa kifungoni gerezeni Mungu alimjia na ujumbe huu mzito katika andiko hili la msingi...
Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.
Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema...
The Quote
First they came for the socialists, and I did not speak out—because I was not a socialist.
Then they came for the trade unionists, and I did not speak out—because I was not a trade...
Nadhani kila mmoja anaelewa kwa Morogoro road ndiyo njia kuu ya kuingia Dsm, kwa namna yeyote mimi nilitegemea hii barabara ingewezeshwa ili iweze kupitika kwa urahisi muda wote!
Ila kituko...
Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza
Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu?
Kwani wewe ndo ulimkamata?
Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo...
Kwa sasa imekuwa kawaida unamiliki gari lakini kulimudu unashindwa mpaka mafuta huu ni ukichaa kabisa
Kuna mshikaji kapata 5m kakimbilia kununua gari tena vits namba B sasa hivi hata kunyoa ndevu...
Wananchi wa Kijiji cha Makasini, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, wametakiwa kuepuka makundi yasiyo na faida na badala yake kujikita katika shughuli na mienendo inayojenga tabia njema, hususan...