Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29.
Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwepo na mwenendo wa Kimbunga Kikali “CHENGE” ambacho kwa sasa kipo katika Bahari ya Hindi, upande wa kaskazini mashariki mwa...
Nimekaa nikawasikiliza wapinzani nikagundua jambo niwachonganishi na wana roho mbaya mfano ACT Wazalendo nimekaa pale Zanzibar miaka hiyo hao jamaa wanaroho mbaya yani wao mbara wanamuona kama...
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo.
Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze...
Jamani naelewa vyombo vya habari vinamuogopa huyu mama, ila hii ni too much, khaaa 😂😂
===========
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameandika historia mpya kabisa, baada ya kufanikisha timu...
Maafisa wa usafirishaji wa Stendi ya Zamani, Singida wametakiwa kuendelea kuwa mfano wa kuigwa katika kulinda amani na utulivu, hususan kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuwa amani...
Walimu mpo!!!
Niende Kwenye mada, hii kada ni kama inalaana maana watumishi wao wanaoishi kama kuku, hawawaz mbele wao wanaangalia hapohapo alipo tu, wakijitahidi sana basi atajiongeza kuwa...
China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na urafiki ambao unaweza kuitwa kuwa ni wa jadi kutokana na pande hizo mbili kuwa na masikilizano, kuheshimiana...
Tanzania ipo hatua moja karibu zaidi kuzindua mradi wake mkubwa wa nishati utakaobadilisha sura ya sekta hiyo — ujenzi wa kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta ya aina mbalimbali...
Kama kweli wanaharakati wanaitakia mema Tanzania basi hii ingekuwa agenda yao ya msingi sana kuanzia ili kuleta mapinduzi ya kweli mchini.
Wangeandamana magari ya kifahari ya serikali yauzwe na...
TTCL fiber imekatika sasa ni siku nzima, hawapatikani kujibu wala hawatoi taarifa.
Watu wanafanya biashara zao kutegemea mtandao na tumefunga kwa gharama kubwa ikiwemo kutoa hongo maana ni watu...
Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA...
1. Kwamba alichukuliwa kuwasaidia Wamarekani na akauwawa kwenye uwanja wa mapambano nchi za Arabuni
2. Kwamba alirudi Tanzania na akafariki katika Hospitali ya Lugalo baada ya kuugua
Naomba niende kwenye swali moja kwa moja, Mtu alikuwa ni mwanachama wa uchangiaji katika mfuko wa Nssf na alikuwa ameajiriwa katika sekta binafsi na katika kazi ambayo ni non-skilled labor or...