Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan
Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi...
Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku
Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli...
Zanzibar. Tarehe 27 Oktoba 2025: Katika kuunga mkono juhudi za kuwaletea maendeleo wananchi, Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Taasisi ya Fedha ya Ufaransa ya BPIFrance imesaini mkataba wa...
Habar wandugu,,,,,,hawa jamaa wakuitwa Anostore muwe nao makini Kuna machine zao za kuhesabia pesa bill counter wanauza,,,zina changamoto ya kugundua pesa fake...juzi nimechukua moja inanisumbua...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Shadrack Masija, amewataka wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi Mkuu...
Akizungumza na waandishi wa habari jana Oktoba 27, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama amesema wananchi hawapaswi kuwa na hofu au kutafsiri vibaya muonekano wa vyombo vya...
Ofisi ya Msajili wa Hazina imetoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ifikapo Oktoba 29, 2025, katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akizungumza kwa niaba ya...
Voda wanaingilia mpesa ya mteja na kutoa pesa zote kulipia nipige tafu bila hiari ya mtu
Niwape indhari kuna mtindo voda wamekuja nao, kama unadaiwa nipige tafu mfano 500 ukitaka kununua...
Katika kipande cha sauti kilichovuja mtandaoni , kamanda wa POLISI , mamba MLA watu , Israel mtoa ROHO za waTz, Mafwele ametoa majibu kwamba anawakamata Hadi hao wanajeshi.
Kwa kifupi hata hili...
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Geita umesikitishwa na kulaani vikali kitendo cha kutekwa kwa Mwenyekiti wa Mkoa, Ndugu Manjale Magambo, kilichotokea usiku wa saa tatu, tarehe 24 Oktoba...
Habari ndugu zangu,
Ninakereka sana na tabia ya baadhi ya mabasi yanayofanya safari kati ya Dar es Salaam na Moshi kuruhusu wauzaji wa machungwa kupanda ndani, hasa mabasi ya TILISHO na BM...
Ikitokea mwanadada mrembo amechukuliwa na watu/aidha polisi au wasiojulikana na kupelekwa mahali ni Kama ndani ya fensi ya gereza au kambi flani hivi,
Kuna wanaume uvumilivu utawashinda...
Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped.
Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme...
Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000).
Je...
Wakati tatizo la Uhaba wa Sukari linaibuka mwaka 2021 mwishoni, Serikali ilieleza kuwa linasababishwa na Viwanda kushindwa kusindika Miwa inayozalishwa nchini kutokana na udogo wa mitambo na...
N vigeugeu wa kutupa na wanafiki waliopitiliza hasa linapokuja swala la kupigania maslahi ya wote watakuacha uangamie kwa wao kupata na kulidhika na kidogo watakachopewa.
Kuwa makini sana nao...
Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni
1. Askari
Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio...