Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haina haja ya salamu wala maelezo Mengi Milard Ayo Diamond Platnumz Hawa kwa kuanza nao, naagiza akaunt zao zibaki na follwers na subcribers chawa wenzao. Wengine wote tukawa-unfollow na...
0 Reactions
4 Replies
355 Views
Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi...
4 Reactions
18 Replies
847 Views
Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 5, 2025, amemuapisha Hamza Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Uapisho huo umefanyika Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma, na kuhudhuriwa na viongozi...
0 Reactions
5 Replies
496 Views
🥲 raia wa kigeni kutoka nje wasiruhusiwe kuja kuvuruga amani ya nchini
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Kwanza kabisa natoa pole za dhati kwa ndugu zetu wote walioondokewa na wapendwa wao, sote njia yetu ni moja. Tulitoka kwake na kwake tutarudi Naomba kuwatahadharisha na hawa watu, roho yangu...
3 Reactions
4 Replies
305 Views
Kama Unavielewa Vile Vyama Vya Siri na Wanaoiiendesha Dunia Karibu Tujadili kwa Undani. >>>>>>>>>>>>>>><<<<<<<<<<<<<<<< Niendelee kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopotezwa kwa kuuliwa...
3 Reactions
3 Replies
269 Views
Wanajukwaa, Hebu tujadili hili kwa pamoja kama nchi na wenye nchi we need to have a backup system endapo mitandao ikizimwa tena nchini. Tulikua na Backups ya Vpn ambayo millions ya watanzania...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Taifa limepondeka, Taifa lina majonzi, Taifa liko katika simanzi zito. Watanzania wengi wana majonzi, vilio kila kona, wanaomboleza kila kona. Simanzi na masikitiko vimejaa katika vifua vyao...
0 Reactions
4 Replies
302 Views
Kwa Tafsiri isiyo rasmi kupitia ukurasa wake wa Intagram Wakali Peter kibatala ameandika kuwa; "Kwanza kabisa tunaomba radhi kwa kukosa kutoa taarifa katika kipindi cha giza totoro; lakini kama...
3 Reactions
1 Replies
346 Views
Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo. Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni...
17 Reactions
41 Replies
2K Views
Namba 40 Imebeba Ujumbe Mzito wa Kihistoria Katika Biblia namba 40 ni alama yenye kumaanisha kipindi cha wakati mgumu. Ni wakati wa maumivu, kukata tamaa ya maisha, masumbufu na changamoto...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya Tanzania vinaonekana kuifuta mipaka kati ya uandishi wa habari na hadithi za mitaani, kwa ku-copy na ku-paste kila habari wanayopata bila kuchimba zaidi kutafuta ukweli...
17 Reactions
87 Replies
5K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo Mhe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sifa kamili za authoritarian ruler (mtawala wa kiimla): 1. Udhibiti Mkubwa wa Mamlaka Mamlaka yote (serikali, jeshi, vyombo vya usalama, mahakama, hata vyombo vya habari) yako mikononi mwa mtu...
0 Reactions
3 Replies
228 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Alikuwa ni mtu mmoja SAYUNI BOY
1 Reactions
4 Replies
364 Views
Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
I saw this earl story from outside the country media reports about our issues. Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi... Hizo ni...
21 Reactions
66 Replies
3K Views
Tuliambiwa ivyo naomba kuuliza je WALICHOFANYWA mbona kimefanyika kwa ustadi mkubwa utafikiri wafanyaji wana experience ya kufanyanyiwa ivyo then wakarudi Binadamu kumbe wanaweza fanya ivyo na...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu. Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Back
Top Bottom