Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanajamvi natumaini mu wazima na mnaendelea vyema sana....!! Taifa la malawi lishawahi kupitia changamoto kubwa kipindi cha COVID na moja ya kiongozi wa taifa hilo alipiga kelele na kupaza sauti...
0 Reactions
1 Replies
42 Views
Mwekezaji nguli Charlie Munger aliwahi kusema: "Nieleze tu mahali nitakapofia, ili nisikanyage hapo kabisa maisha yangu yote." Kama unataka hakikisho la 100% la kubaki kwenye umaskini bila kujali...
2 Reactions
4 Replies
104 Views
Khabari ndugu zangu wana bodi. Kichwa cha khabari cha husika. Nina ulemavu wa miguu nilio upata kwa ajali.Nime fanyiwa upasuaji mara 2 lakini bado yana hitajika matibabu mengi ya garama ila...
0 Reactions
6 Replies
49 Views
Kila nikijifikiria issue ya Dudu baya, naona kabisa ni yuko sahihi Maana washtakiwa wote wanaishia kuomba radhi na kutaka yaishe Ila serekali inaingilia kati, hasa hawa basata kama wa kina nani...
5 Reactions
16 Replies
187 Views
Chunya, Mbeya Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120...
2 Reactions
1 Replies
39 Views
Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo...
1 Reactions
5 Replies
179 Views
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia...
10 Reactions
46 Replies
943 Views
Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
1 Reactions
5 Replies
116 Views
Anonymous
Wakazi wa Mtaa wa Kiseke, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza, tunaomba msaada wa mamlaka husika kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa huduma ya maji katika eneo letu. Kwa sasa, wakazi wengi...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana. Mwaka 2001 nilikuwa bado mtoto. Sikujua mengi kuhusu maisha. Nilichojua ni kucheza, kula, kwenda shule na kurudi nyumbani. Lakini nikikaa leo...
10 Reactions
37 Replies
393 Views
Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
USA
Kwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga Arusha united state Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani Sasa vijana huu wehu...
0 Reactions
5 Replies
79 Views
Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama...
2 Reactions
2 Replies
71 Views
Anonymous
Wilaya ya Chemba Mkoa wa Dodoma wanaohusika na kukusanya kodi wanatuumiza sana wananchi, wanakuja kwenye duka hata kama umefungua jana yake uko na siku moja tu, wanakupiga faini ya Sh 50,000 na...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote (IDUAI) hufanyika Septemba 28 ya kila mwaka, ambapo kaulimbiu ya mwaka huu ni “Kulinda Uadilifu wa Taarifa katika Enzi ya...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Short and clear Ipo hivi, ukitoa mambo mengine yote ninayoweza kufanya Kwa ajili ya kujipatia kipato na kuchangamsha akili basi ni ufugaji wa ngombe wa maziwa ,samaki, kuku na samaki na kilimo...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Anonymous
EWURA na TBS tunaomba mlifuatilie suala la ujazo wa gesi za kupikia, kwani limekuwa changamoto kwa watumiaji wengi. Mitungi ya gesi imekuwa ikiisha haraka kuliko kawaida licha ya kuwa matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Anonymous
Wakazi wa Wananchi wa Songea, Mkoa wa Ruvuma, tuna changamoto kubwa katika upande wa uokoaji pindi ajali zinapotokea. Hasa katika ajali zinazohusisha malori, ikiwemo malori yanayosafirisha makaa...
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Nyie sio dini, Mlitengeenezewa category ya dini na institutions za kidunia baadae sana ila hakuna mahala Yesu, Petro na Paulo walisema wanaanzisha dini mpya au waliacha maagizo mji-organize kama...
2 Reactions
19 Replies
119 Views
With the Dar es Salaam Stock Exchange delivering 56.22% YTD returns in USD, Tanzania ranks among Africa’s strongest-performing equity markets in 2026. A clear signal of growing investor...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…