Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wakuu naombeni mnijuze nchi gani kati ya hizi zina uhaba wa watu na hasa watalaam wa fani mbalimbali na ukienda tunaomba uraia ni chap tu unapewa Kati ya Australia, Papua New Guinea, New...
5 Reactions
11 Replies
465 Views
Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo. Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao. Gafra akatokea nyoka wa...
1 Reactions
13 Replies
751 Views
Watanzania wenzangu habari! Nimekuwa kwa muda mrefu nikisikiliza radio tajwa hasa vipindi vya michezo na magazeti. Lakini hata hivyo siku za karibuni sisikii vipindi hivyo badala yake muda...
3 Reactions
5 Replies
574 Views
Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto . Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna...
5 Reactions
23 Replies
880 Views
Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea...
3 Reactions
4 Replies
564 Views
Msako mkali ikiendelea jijini mwanza ili kuwabaini vijana waliosababisha vurugu na uharibifu wa Mali za watu ikiwemo maduka kuharibiwa vibaya na kuchoma moto magari, vituo vya mafuta huku...
0 Reactions
22 Replies
450 Views
Habari zenu Ndugu Wana-jamiifirums. Kwa matukio yanayoendelea duniani kwa ujumla, nahisi kila mtu AMEANZA kuamini kuwa hakuna kiumbe kiitwacho Mungu. Huo ndio ukweli.
15 Reactions
365 Replies
8K Views
Pia soma ~ Huyu ni mwalimu wa shule gani anayempiga mwanafunzi mateke
3 Reactions
126 Replies
5K Views
Tanzania tumekuwa kituko kwakweli, huu ni zaidi ya udikteta. Samia anafanya Mataifa kuishangaa hii nchi, tuweke masuala ya Jinsia pembeni tujadili kwa fikra na matendo ya binadamu anayesimama...
4 Reactions
15 Replies
725 Views
Kuna vitu duniani ukivisikia vinaua, unajua moja kwa moja havina mjadala. Sumu ya panya? Unakimbia. Risasi? Unakimbia. Lakini pombe? Tunaweka mezani, tunaita “kutoa heshima” na tunamimina kwenye...
24 Reactions
151 Replies
6K Views
Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa. Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu...
5 Reactions
16 Replies
782 Views
Agenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha. Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili...
6 Reactions
12 Replies
385 Views
Laiti kama vyama pinzani wangebeba agenda kuu ya kutokubali kufanya uchaguzi mpaka reforms kadhaa zifanyike mfano uwepo wa tume huru ya uchaguzi, kukataa uhuni wa vitambulisho vya taifa (NIDA) na...
10 Reactions
21 Replies
831 Views
Wakuu Naona sasa wamiliki wa maeneo na biahsra zilizoharibiwa siku za maandamano wanaanza kujitokeza. === Mwekezaji na mfanyabiashara wa Kitanzania wa kampuni ya The Voice ameiomba serikali...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Kwema wakuu changamoto niliyonayo ni kwamba mdogo wangu kaapply mkopo ila ukifungua kwenye akaunti yake inaonekana kama nilivyoambayanisha hapa, Je Kuna yeyote amewahi kukutana na...
1 Reactions
2 Replies
244 Views
Habari wakuu Nimechanguza na nimejiridhisha asilimia 70 ya wasomi Tanzania ukitoa vyeti vyao hawana elimu yoyote ile, sio tu walimu ambao katika hyo 70% wao wanaitawala kwa 50% lakini kuanzia...
10 Reactions
68 Replies
1K Views
Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa...
0 Reactions
26 Replies
1K Views
Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah. #2025JumaFakiAtosha
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Watu wengi wanapolala huota ndoto. Baadhi ya ndoto ni za kawaida, nyingine zinatoka kwa Mungu, na nyingine hutokana na akili zetu wenyewe. Lakini pia zipo ndoto zinazotokana na shetani. Ndoto za...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa...
3 Reactions
5 Replies
344 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…