Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna post nimeona dogo mmoja huko X (zamani twitter) anajisififu kuwa kaingiza milion 100 kwa hustle zake na anamiaka 26. Nimeshtuka sana. lakini nahisi aliandika kuongeza likes si kweli. Ingawa...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna hili duka la Wachina hapo Mikocheni pembeni ya Clouds linaitwa Citistore. Hili duka ni la ajabu sana. Yaani kila kitu humo ndani kinauzwa 3000. Yaani chochote, kuanzia accesories za...
26 Reactions
182 Replies
12K Views
Agenda ya Chama chakavu cha mauaji ni kuleta maridhiano baada ya kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 Kesho Chama chakavu cha mauaji kinaenda kumhidhinisha spika wa bunge na Waziri mkuu Tundu...
15 Reactions
44 Replies
1K Views
Habari wadau naombeni msaada wa nyimbo za zamani bakurutu za bongo na kenya ahsante naomba kuwasilisha
1 Reactions
28 Replies
15K Views
Sasa kama ujafurahishwa mbona umefika huko Bungeni? au unatuletea unafiki wako hapa! Wewe kama umeona kuna hali mbaya kwa Watanzania wakati huu ungekataa, ila ukakubali kabisa na kufika hadi...
1 Reactions
13 Replies
922 Views
Viongozi wa Tanzania wamejisahau aidha kwa kujiona wao ndiyo wanafaa kuishi maisha mazuri kuliko waliowaweka kwenye nafasi husika aidha kwa kukodi za wananchi au kura za wananchi. Viongozi wengi...
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Kwa nilichokiona kilichotokea tarehe 29 na kuendelea ni mjinga pekee atakaeandamana tarehe 9 bila kuwa na bunduki kiunoni Bora nilale Afrika hamna Cha maandamano ya amani nashangaa majitu yanasema...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Miaka mingi iliyopita nilikua naishi mbali na nyumbani sababu ya masomo, ghafla nikawa kila nikilala namuota kaka yangu na nikiwa kwenye ukimya nasikia sauti yake. โ€จโ€จ Siku moja, nimeamka tu...
18 Reactions
74 Replies
3K Views
Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza...
5 Reactions
4 Replies
307 Views
Ubalozi wa Sweeden kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii wameandika kuwa; We stand behind the call for jusice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing. โ€ฆ...
3 Reactions
21 Replies
797 Views
Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu. Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya...
2 Reactions
20 Replies
593 Views
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa ameeleza kuwa nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu na kuwa haina sababu kuhitaji kujua nani amesabibisha hayo bali ni...
2 Reactions
19 Replies
623 Views
Huyu jamaa ni zezeta na pevert, anaandika upumbavu sana mtandaoni, kuhamasisha usodoma(mapenzi kinyume na maumbile), ufuska, ngono kwa watoto nafikiri LHRC walishamkemea wakabezwa, hata Waziri wa...
22 Reactions
105 Replies
4K Views
Imagine taasisi au mtu wako upande wa mtesi wako baada ya kumu'cancel na kumignore huyo mtu unaenda kumjazia comments za matusi kwenye page yake. Hata humu ndani mtu threads zake huzielewi ignore...
2 Reactions
4 Replies
231 Views
Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage...
1 Reactions
9 Replies
359 Views
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo Novemba 10, 2025 ameahidi kuongeza maradufu pensheni kwa Wazee Wastaafu kuanzia miaka 70 visiwani humo. "Wazee wote...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ