Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao...
14 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika tukio la kushangaza na kusikitisha, kurasa mbalimbali maarufu mtandaoni zimelengwa na wadukuzi wasiojulikana walioteka akaunti rasmi ya Polisi Tanzania kwenye mtandao wa X (zamani Twitter)...
38 Reactions
412 Replies
31K Views
Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Jijini Arusha, Nabii Mkuu GeorDavie Moses, ameteuliwa kuwa Mwakilishi na Balozi wa Amani wa Afrika Mashariki kupitia Shirika la Mabalozi wa Amani la...
1 Reactions
6 Replies
338 Views
Katika hali ya kawaida maisha huanza kutoka tumboni iwe yai, iwe mimba ama funza, lava na hata kiluwiluwi Lakini kwa chura wa Suriname, uzazi wake huanzia .. Yaani mgongo hupasuka na vitoto...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Hotuba ya Rais ya kufungua Bunge la 13 siku chache baada ya uchaguzi mkuu uliogubikwa na maandamano/"vurugu," vifo, na uharibifu wa mali, hotuba hii ilikuwa na kazi mbili kuu: -Kuponya (kisiasa)...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Binafsi Kwa hotuba ya Rais Samia naona ni yule yule wa Jana na Sasa situation itakuwa worse 1. Hotuba ya Rais Kwa maksudi haijakemea ufisadi na Rushwa. Nadhani Cancer kubwa ya taifa hili ni...
5 Reactions
6 Replies
359 Views
Mastaa wengi kila siku huwa tunawaambia hapa mjini mna show off nyingi ila huko kwenu panatia aibu huwa hamsikii Baada ya Kibu kukutwa huko kwa wazazi wake wanaishi nyumba ya nyasi jana watu...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Maandishi nguli wa habari za michezo Jemedari Saidi amehoji ukimya na unafiki wa BAKWATA huku Quran ikitumika vibaya bila kuzingatia maadili na maamrisho ya uislam Tuliwambia kazi ya BAKWATA ni...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala...
3 Reactions
15 Replies
479 Views
Huyu binti analalamika anasema; Nawaza sana… je, sisi Gen Z tutafika kweli? 🥹 Kuna wakati nahisi dunia ilikosea kutupokea. Maana kama ingekuwa ni Afrika tu, ningedhani labda ni changamoto ya bara...
3 Reactions
11 Replies
786 Views
Utafiti uliofanyika dhidi ya mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 unabainisha mila na desturi za kijamii na kijinsia zilivyoathiri ushiriki wa vijana na wanawake katika uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Salaamu na pole kwetu sote kwa ubatizo wa moto tunaoendelea kubatizwa nao ili hatimaye tung'are na kuwa kama dhahabu safi. Binafsi huwa nina hii 'kasumba', huwa nakuwa mzito sana wa kumshauri mtu...
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini, Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1)...
3 Reactions
13 Replies
455 Views
Lengo la maridhiano ni kumjenga Samia kisiasa , watakamatwa wengi kisha Samia atatangazwa waachiwe. Huu uigizaji tumeushtukia. Raia wanakamatwa siku hizi kama kumbikumbi, na kosa wanalopewa ni...
5 Reactions
14 Replies
599 Views
Uislamu ni dini ILIYOJENGWA Kwa propaganda kubwa sana, kila fundisho kwenye uislamu msingi wake ni propaganda yenye kujinasibisha na kizazi cha Uyahudi na manabii wake , Shukrani kwa Teknolojia...
10 Reactions
193 Replies
12K Views
Kuna watu walikuwa wanawavua viatu marehemu,wale waliopigwa risasi . Kama mtu kafa na kiatu kizuri, simu nzuri ,saa ,wallet,pete nk vibaka walikuwa wanawavua kisha wanaenda kuviuza. Epuka sana...
6 Reactions
19 Replies
551 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…