Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa...
56 Reactions
196 Replies
10K Views
Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana. Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii...
7 Reactions
12 Replies
505 Views
Nimeitoa Facebook nikaona ni vyema kushirikiana nanyi na wajuvi wa mambo (seniors) ili mtuelekeze zaidi. Kama hukuwahi kufahamu VPN ni nini na inafanyaje kazi, basi hebu nikufahamishe. Kwa miaka...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha, Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa...
4 Reactions
7 Replies
334 Views
Tunaendelea kukumbushana tuu kwamba hata hili la bandari siyo udini kama wazushi wanavyozusha. Kipindi cha "Privatization" kilipopamba moto Hayati Rais Mstaafu Mkapa alitaka kubinafsisha shirika...
2 Reactions
4 Replies
671 Views
Ni vigumu sana kusimama katika haki kwenye dunia iliyojaa uovu, kwamaana unapigwa katika kila upande na hata waliotakiwa kuzama katika maombi nao wamekengeuka, ninapoitazama kazi ya msalaba...
26 Reactions
252 Replies
27K Views
Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
4 Reactions
16 Replies
974 Views
Serikali yakanusha video ya miili kuonekana Hospitali ya Mwananyamala, yadai imetengenezwa kuleta taharuki Serikali kupitia Wizara ya Afya imekanusha madai yaliyosambaa mtandaoni kuanzia Novemba...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Wabongo ushindi unakaribia kila mahali watu wameamka kuanzia Tiktok insta jf na twitter Habari za simba na Yanga zimekufa kifo cha mende... Nawaambieni ushindi unakuja kwa kasi December 09...
14 Reactions
16 Replies
539 Views
Wakati Serikali ya Tanzania inapoteza pesa kusaidia mchezo wa soka ambao haujawahi kuleta Manufaa yoyote, Bwana Yerricko Nyerere anajipigania binafsi na kuiletea Heshima Nchi yake kila Mwaka...
14 Reactions
60 Replies
2K Views
Kwasababu waliouwawa wengi ni vijana, halafu pili wengi wao walikuwa wanaishi mjini, halafu tatu maisha ya mjini yalivyo magumu, na halafu nne baba ndiye nguzo kuu ya familia. Basi watoto wa...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
  • Closed
Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania...
26 Reactions
62 Replies
2K Views
Kama ikulu yetu hutoa salam za pole kwa wananchi wake wanapokufa au kupoteza mali, je hupima uzito huo kwa kigezo gani? Je, Misiba iliyotokana na uchaguzi huu inaweza kustahili pole au misaada...
1 Reactions
13 Replies
298 Views
Mjumbe wa CCM Halmashauru kuu ya taifa NEC ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia Jimbo la Malindi Hassan Ussi Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi...
1 Reactions
9 Replies
272 Views
Kanisa Katoliki Nchini, kupitia kwa Rais wa TEC Askofu Wolfgang Pisa limetoa tafakuri ya pamoja ya Maaskofu wa Kanisa hilo, kufuatia tafakari na sala walizofanya kwa takribani siku nne (4) kuanzia...
4 Reactions
5 Replies
361 Views
Habari Usikubali kutoka mikono mitupu ukisikia mwizi yupo ndani ya nyumba. Hivi sasa wezi wengi wanadamu za watu mikononi hivyo kuua kwao ni sio shida. Unaweza kuibiwa vile vile ukapata kichapo...
3 Reactions
4 Replies
272 Views
1) viongizi wa dini - bila kujali ukristo Wala uislamu , kwa Tanganyika viongozi wa dini wengi ni mambumbumbu , malofa na takataka kabisa. Haya mkiyaona mahali popote yapigine Hadi kufa 2) Simba...
2 Reactions
8 Replies
402 Views
Jamaa kaona ya nini tena baada ya kukaa mahabusu kwa siku kadhaa kaona siasa ngumu kaamua akiche siasa ============= Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi wa Chama Cha ACT - Wazalendo Mkoa wa Njombe...
3 Reactions
12 Replies
514 Views
Habari ya jioni watanganyika. Niwapongeze na poleni kwa heka heka. Nipongeze pia juhudi za ‘wahusika’ kusikiliza wananchi, kwasababu kitu pekee tunahitaji sasa hivi ni kuhudumiwa. Sasa...
1 Reactions
16 Replies
574 Views
Sasa kama nimechoma Vituo vya mafuta na kuharibu Mali za watu je nahitaji kupigwa risasi au kufunguliwa mashtaka Je sheria inaruhusu mtu asiyekua na silaha kupigwa risasi? Je sheria inaruhusu...
1 Reactions
4 Replies
192 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…