Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Naona projects za kusafishana zinaendelea. Huyu anayejiita Ostadh Juma na Musoma amajitokeza hadharani na kumsifia Kamanda Mafwele kuwa ni mtu poa sana na wanaomcukia watakuwa ni majambazi...
0 Reactions
15 Replies
584 Views
Kuua watu na kutupa kwenda kuzika bila kuwapa miili ndugu zao. Nyie ni wanyama hata wanyama wana ustaarabu kuwaliko. R.I.P Robati na wengine wote mliodhulumiwa nafsi.
1 Reactions
4 Replies
196 Views
TANESCO kata ya Kibamba -Dar, inafanya uzembe mkubwa sana kwa kushindwa kuhamisha nguzo za Umeme kwa muda kwenye barabara ya Hondogo iliyokuwa inajengwa. Hii imesababisha Mkandarasi kuhamisha...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda leo Novemba 18, 2025 Mara baada ya ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert John Chalamila ametoa dukuduku la wakazi wa Temeke juu ya kukosekana kwa...
0 Reactions
1 Replies
224 Views
" Nina imani kubwa sana na bunge la sasa hivi jinsi lilivyo. Ni bunge la Chama cha Mapinduzi"- amesema mwananchi Huyu ni mwananchi tena mtu mzima aliyeshuhudia vipindi vingi vya uongozi hapa...
1 Reactions
9 Replies
298 Views
Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji na Bodaboda mkoani Kilimanjaro kinawataka waendesha vyombo hivyo vya usafiri kutokujihusisha kwa namna yoyote na matukio ya vurugu au uvunjifu wa amani...
1 Reactions
5 Replies
338 Views
Acheni kujichoresha na mnatuboa vile vile. Mbona wengine baada ya Kuachwa wala hawajashukuru na wapo Gado?
3 Reactions
5 Replies
255 Views
Mc Pili pili alipata fursa ya kumtambulisha mzazi wake jukwani mda anatoa Comedy jambo ambalo lilikua jema , Mama alipewa nafasi ya kwanza kumsalimia Ridhiwani Bila yeye kujua Ridhiwani ni nani...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Wakuu, Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo. Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke...
33 Reactions
418 Replies
16K Views
Kuna mahali nadhani tunaparuka! Kwa mamna ya kauli za baadhi ya wabunge jana inaonesha dhahili kuwa hawako upande wa wananchi zaidi ya kuwaza matumbo yao! Nadhani hawa tunawamudu kiurahisi mnoo...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Watanzania na Serikali tulinde sana nchi yetu kwasababu vita ya Wakoloni bado ipo, wanatumia mbinu mpya ya Mapandikizi kuharibu Uhuru wetu Hakuna Wanafiki wa kuwafikia Wakoloni walioendesha...
1 Reactions
43 Replies
813 Views
My people, Hii hapa Summary ya Kitabu cha Gifted Hands kwa Kiswahili na Kiingereza. Nimekisoma ni kizuri sana.... "Gifted Hands: Hadithi ya Ben Carson" ni kitabu cha wasifu kilichoandikwa na Dr...
5 Reactions
7 Replies
422 Views
Wakuu nimejaribu kutafakari kidogo kwa haraka, pamoja na uwepo wa Mheshimiwa Doto Biteko kama msaidizi wa waziri mkuu wa sasa Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Naona bado kuna namna Mheshimiwa...
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa mambo ya ndani, home boy kabisa, nilikutabiria utakuja kuwa Rais wa Tanzania Ulivoteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ilifanya kazi njema ya kutuliza uhalifu wa utekaji holela na...
3 Reactions
6 Replies
670 Views
Habari wanajukwaa, Nimekua mtumiaji wa mtandao wa YAS (Tigo) kwa miaka sasa. Ila mtandao huu umejaa janja janja sana. Wakati wanahama kutoka jina la Tigo kwenda YAS mtandao huu ulijitabainisha...
2 Reactions
3 Replies
616 Views
Ndugu zake wengi wako wilaya ya Mpwapwa maeneo ya kijiji cha Bumila pia wako kitongoji cha Ng`ambo mjini Mpwapwa. Amefanana kabisa na Mkunda yule aliyekuwa amemuoa Dr. Mkunda yule alikuwa...
13 Reactions
71 Replies
19K Views
Hapo vip!! Jana usiku wa tar 17.11.2025,nimeota ndoto kuhusiana na maandamano ya tar.9.12.2025. Na nimeona mambo haya:- 1.kwanza nikweli maandamano yatafanyika. 2.Hakutakuwa na umwagikaji damu...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia...
9 Reactions
42 Replies
807 Views
Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi...
41 Reactions
149 Replies
19K Views
Hili tukio limetokea jana, ambapo Wamasai wamepigana na Walinzi na kujeruhi. Nini kifanyike kuepusha matukio kama haya kwenye jamii yetu? Written by Mjanja M1 ✍️
6 Reactions
166 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…