Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mm najiuliza sis watu visiwani kwa maana ya zanzibar , tumejikwaa wapi?, nasema hivi kwa maana ya kwamba ,eti nasikia zanzibar ilikua juu kiuchumi ,ama nimaneno tu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aliandika makala aliyoipa kichwa cha habari "Safari za JK Nje ya Nchi" 2 June 2009? Embu isome unisaidie nisichokijua maanake hata jinsi ya kuuliza sijui Profesa Joseph L. Mbele Leo...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
  • Closed
JUMAMOSI, NOVEMBA 03, 2012 08:15 NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM *Waandamana baada ya Sala ya Ijumaa *JWTZ, polisi wajitosa kukabiliana nao JANA mitaa ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Uchaguzi kwenye mitaa Tisa ya mamlaka ya mji mdogo Usa-River unafanyika leo. Kamanda Nassari jana alifanya mikutano mitano za kuhitimisha kampeni. Akina mama kwenye mkutano wa chadema mji...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo ukiingia social media karibu zoote utaona mara ooh Halloween hiv Halloween vile cjui nini nini, co mbaya lakini Vijana wa cku hzi kuiga sana na being Fake mezidi au ndio tujue DSTv yenu ina...
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Wakuu, Naomba nilisema hili na tusaidiane. Kuna mabasi yanaitwa Green Star ambayo yanafanya safari zake kila siku kati ya Dar-Mz lakini yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa abiria wake. Haya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
CHAMA TAWALA WALIKUWA NA WIMBO HUU HAPO ZAMANI. "Chama chetu cha Mapinduzi chajenga nchi" SWALI:Wimbo huu bado unaimbika midomoni mwa watanzania?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu hivi ile kamati ya Mwakyembe iliyomtoa Lowasa ilikuwa inaitwaje nanaweza kuipata kwenye site gan?Msaada naomba.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huduma ya m-pesa kununua luku kama ingekuwa ni amri yangu ningefunga hiyo huduma unalipia Luku kwa M-pesa inachukua saa zaidi ya 4 kupata tokens za kuweka kwenye Mita sijaona umuhimu wake zaidi ya...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
hii nimeiona habari za michezo tbc, watoto wa kike waliovalia mavazi ya hijab wakifunzwa mbinu za kupiga kwa mtindo wa 'kung fu' Je malengo ni ya kuwapa uwezo wa kujilinda kibinafsi au kuna...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ijumaa mchana ni muda wa maandamano na vurugu. Chukua tahadhari
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello bandugu!! Nimepita facebook page ya TMA leo na nimekutana na taarifa ya uwezekano wa ongezeko la mvua katika baadhi ya mikoa katika siku mbili zijazo kuanzia kesho 01/11/2012. Kwa maelezo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu hali ya hewa inasomeka kitahadhari zaidi. Kuna tishio la ongezeko la mvua muda mchache ujao.... soma taarifa ya Hali ya Hewa hapo chini JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kama umewahi kuona kupitia ITV au kwa anayejua ile ishu ya yule mama aliyevimba mguu na anahitaji msaada kupitia ITV,kwa kweli ile habari ilinigusa sana na natamani sana nichangie,lakini sina...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
waasisi wa taifa letu ,walipata changamoto kubwa baada yauhuru,kwani baada ya uhuru watu waliweka vitendea kazi chini na kufurahia matunda ya uhuru, kazi sehemu mbalimbalim zikasimama ,maana watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau amani iwe nanyi, tanzania inacho takiwa kufanya ili ijikwamue katika kuwa nyuma ki uchumi na tekinolojia ni kuwa na uelekeo na kufahamu taifa lina enda wapi, kwa kufahamu hilo hata hoja na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi nlkw nahitaji fedha nkapita ATM nkataka kutoa 40000 nkafanya process zote lkn ikagoma pesa haikutoka. Ikabidi nichukue 50000 pesa ikatoka nkasepa zangu. Leo nazama ktk ATM kuchukua mzigo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
mnakata network kila siku kwan nyie mna tatizo au utofaut gan na mitandao mingine?????? we are tired with u Tigo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
sioni logic ya mtu akitaka kurenew line atoe kopy kitambulisho hapo kwenu kwa bei ya sh 500 bado alipie line hamna lugha ya wateja ...... toooooo local
0 Reactions
1 Replies
983 Views
Wakuu habari zenu niliipost hii kitu jukwaa la kazi na tenda ila maybe ni kutokana na wahudhuriaji wachache maeneo yale nimekosa ninachokitaka so nimeamua niiweke hapa naamini nitapata hata mawili...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…