Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. Ushahidi wa Kibiblia Yohana 1:1 – "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu." Tito 2:13 – "Tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa...
29 Reactions
460 Replies
12K Views
Katika kipindi cha awamu iliyopita, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, Watoto na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, alionesha uongozi madhubuti, uwajibikaji, na moyo wa kujitoa kwa...
3 Reactions
20 Replies
912 Views
Hili ni jambo la kusikitisha sana Viongozi wetu walojiapisha wenyewe bila ridhaa ya watanzania tena kwa mabavu, madaraka ambayo watanzania wengi wamepoteza maisha yao wakipambania haki katika...
0 Reactions
3 Replies
185 Views
Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu 1.jipende nunua nguo nzuri 2.kula vizuri 3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo...
1 Reactions
6 Replies
271 Views
Maboss zangu mko poa .. Angalia picha zote uone kabla na baada(before and after) ya kuweka showcase.. Showcase za kujengea za kisasa kabisa.. Maboss zangu wengi mnatakaga kujua gharama ila hizi...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Salaam , Shalom!! Angalizo: Jiepushe kuandika kejeli au upuuzi juu ya maneno ya unabii huu, maana maneno haya, yametoka katika kinywa Cha Mungu kupitia kinywa Cha Nabii wake, Ili kujiepusha na...
1 Reactions
11 Replies
951 Views
Ukiwa na Akili Kubwa wala hutokuja kunijibu kwa Hasira na Mihemko ila ukitulia tu naamini utanielewa na kunishukuru.
1 Reactions
6 Replies
213 Views
Kwani huenda kuna wengine Kikinuka hiyo Siku mliyopanga basi tukakimbilia Vyooni hivyo tuhakikishe tunavisafisha.
0 Reactions
4 Replies
93 Views
Baada ya kutokea kwa vurugu zilizopelekea vifo na uharibifu wa mali katika mikoa mbalimbali nchini siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais, Oktoba 29 mwaka huu, umoja wa Madereva wa...
0 Reactions
10 Replies
432 Views
Ukiangalia mkeka vizuri utagundua Mawaziri wengi wamewekwa wizarani bila kuwa na CV zinazotosha kwenye wizara hizo. Wizara ya Afya anapewa Mchengerwa wakati hana background nzuri ya mambo ya...
0 Reactions
5 Replies
240 Views
Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa...
3 Reactions
5 Replies
567 Views
Sio kukubali hawa wahuni kuwa matendo yao yanaweza kuwa makubaliano kuwa sisi ni wapole na wapenda amani. Watu wamekufa vifo vibaya sana tena kama vina amri toka juu. Kuna mtu alipigwa risasi...
0 Reactions
2 Replies
282 Views
Ukweli unafutwa na ukweli watu wakisema mnaona wanakosesha amani kwa hawa chawa wa utawala usiokuwa na aibu wakionesha dunia kuwa viliza wa kwanza. Yanayo kuja hata mahakama ya wahuni itashindwa...
2 Reactions
8 Replies
445 Views
Habari Tanzania ! Nawaomba wenye Mamlaka kwa kuwa mmewaza kuanzisha Wizara rasmi inayohusu Vijana. Napendekeza mfumo mzuri wa kusaidia vijana hasa kuanzia ngazi ya chini wanakoishi. 1. Kila...
1 Reactions
3 Replies
243 Views
*Habib and Kali. "Huyuu mjamaa".
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Gen Z ndo kizazi cha watu smart sana tangu dunia iumbwe.
11 Reactions
46 Replies
974 Views
Wanajamii, sijui nianze na kulia... Natamani nipige ukunga watu wanisikie, wajue mpaka ndani mwangu navyoumia. Natamani nipate wa kumweleza huu uchungu wangu ninavyojisikia kwa sasa, lakini...
19 Reactions
100 Replies
6K Views
POLISI "Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria". KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA?? WAMEFANYA MAUAJI YA...
5 Reactions
10 Replies
478 Views
Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya MUUNGANO wa Tanzania 2. Wanu Hafidh Ameir - Mtoto wake pia Naibu Waziri wa Elimu 3. Mohamed Mchengerwa — Mkwe wake pia Waziri wa Afya. 4. Mwanaenzi...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Salut kwenu great thinkers wa JF. Hivi karibuni nimeshuhudia uenezi wa taarifa za kipvmbavu sana kupitia hii media house. Moja ya taarifa hizo ni hizi hapa chini 1.ALIKIBA APOSTI PICHA AKIWA...
4 Reactions
6 Replies
374 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…