Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ANGALIA PICHA YA MBONGO NA SI MCHINA AKISHEREHEKEA XMASS YAKE KWA KULA CHURA!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wajawazito katika Wilaya ya Iramba mkoani Singida, huuziwa kadi za kliniki kulipia baadhi ya huduma nyingine. Hayo yamebainishwa na shirika lisilo la kiserikali la Sikika la jijini Dar es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapatao wasichana 200 wameandamana hapa mjini tarime kupinga kutokeketwa kwao, maandamano hayo yalianzia maeneo ya Nkende kuelekea maeneo ya ofisi ya mkuu wa wilaya hiyo na hatimaye kumalizia...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Items worth millions stolen from Mwandosya home Wednesday, 26 December 2012 22:21 By Lucas Liganga The Citizen Chief Reporter Dar es Salaam. Cabinet minister...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Niliwahi kuandika hapa kuhusu uvunjwaji wa haki za wagonjwa unavyofanywa na madaktari. Wapo waliokubaliana nami na wapo waliokataa. Tukubali tukatae, tunavunja sana maadili. Katika kupita kwangu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ningepewa nafasi ya kuubatiza jina Mwaka 2012 ningeuita Mwaka wa Upumbafu wa Ujana. Ningeuita hivyo kutokana na kuwa mwaka uliodhihirisha UJANA/RIKA/UMRI ni vigezo vya kipuuzi kabisa katika...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau na Mh. Mwakyembe, Nimeona insi kampuni ya reli sehemu ya pwani ya magharibi ya India iliyofanya ubunifu kuongeza mapato yake kwa kubeba malori ya mizigo badala ya makontena na kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mawaziri wa JK wagongana na Asha Bani WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki, ametofautiana na Waziri mwenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Thereza Huviza, akipinga...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana JF mashabiki, wapenzi na wanachama wa CHADEMA iko haja ya kumsindikiza Comrade Godbless Lema bungeni mwezi Januari 2013. Supporters wapange jinsi ya kujikusanya toka kila mkoa na kila wilaya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sapa-AFP | 26 December, 2012 12:56 Tunisians protest in the central town of Sidi Bouzid. File photo. Image by: STRINGER / REUTERS A young unemployed teenager has killed himself in Sidi...
0 Reactions
1 Replies
910 Views
Wakati tukisaka wanasiasa bora na waliofanya kazi zaidi mwaka 2012, nadhani ni bora tuwataje pia wanasiasa waliotia fora kwa pumba nyingi zaidi. Tupendekeze majina halafu nitawaweka kwenye poll...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Leo ktk kijiji cha chalowe,njombe,kulikuwa na mazishi ya mtu mmoja ambaye ni mstaafu wa utumishi wa umma ,chadema waliwasilisha salaamu na rambirambi wakimsindikiza mtoto wa marehemu ambaye ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajf naomba kujuzwa ni lini huu mkonga utazinduliwa rasmi na utasaidia kwa kiasi gani esp kwa watu wa vijijini na jee ni kwa ajili ya kurusha mawimbi ya internet tu ama mpaka simu tv na radio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
What is that phrase you always wanted to tell someone? Here's mine: - 1. There is no vaccine against stupidity! 2. Wipe your mouth, there is still a tiny bit of bulls--- around your lips. 3. Im...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninampango wa kununua kagari kadogo kwa usafiri wa kzn,nimeona kwenye mtandao,bei yake na cif ni usd 1350,na ni cc 990 ya 97,swali ,,uimara wake,utumiaji wa mafuta ukoje? Ushuru utakuwa je kwa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika mwaka ule wa 1929 (Frank Morris) alipanda meli iliyokuwa ikienda Uswisi. Alikuwa ametazamia kufanya safari ile kwa muda fulani. Lakini ikageuka na kuwa safari ya kumdhalilisha. Mtumishi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nawatakia heri ya Xmass!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Breaking News basi la New Force toka Mbeya kwenda Dar Es Salaam lapata ajali asubuhi hii zaidi ya majeruhi 20 wakimbizwa hospitali This is the developing news. More update to follow
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa yeyote anaejua mwenendo wa soko la korosho mtwara' niliuza korosho tangu 15 sept mpaka leo sijalipwa na niko mbali.
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Mtwara ni kituvo cha gesi asilia yenye manufaa lukuki kwa ustawi wa nchi. je kwa wasomi wetu katika jeshi na serikali na vyuo nii sahihi kuweka vyanzo vyote vya umeme wa asili jijini dar? hivi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…