Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

polisi wa wilaya ya karatu wapatao 20 hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili mpaka leo.yaani mishahara yao ya mwezi novemba na desemba 2012 imekuwa ikipigwa danadana kwa uzembe wa wahasibu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilikuwa kwenye hiace kuna wadau kuna jambo walikuwa wanajadil ,lakin wakawa wanamtaja wazir amimm,nimejarb kuangalia kwenye kalenda yangu hilo jina sijaliona.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu wana JF naleta kwenu jamvini mjadala huu naomba kupatiwa majibu, napenda kufahamu hatma ya yule Kamanda aliyepiga picha na Lema kule Mererani je bado yupo kazini au ndo ivo tena kibarua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Ninaomba mwenye ANUANI YA CHUO CHA WALEZI (USTAWI WA JAMII)KISANGARA -MOSHI anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
886 Views
nilikuwa ninaangalia kipindi cha tuongee asubuhi star ccm tv nililifurahishwa na huyu jamaa jinsi alivyokuwa anachangia,alionga hivi nanukuu kuna hawa watu wanaitwa masprit doctors kama nape vile...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Posted: 29th December 2012 by MillardAyo in News 4 Hapa ndio TAZARA pa kuondokea. Ni DMM 88.5 yani Dar mpaka Moro huku 88.5 ikiwa ni namba rasmi kwa kila mwanafamilia wa CLOUDS FM Dar es...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa siku kadhaa sasa, wizi wa kutisha unafanywa na raia wa kigeni katika benki kadhaa nchini, hasa NBC. Akaunti za wateja wengi zimekombwa kabisa fedha, na sasa kuna malalamiko mengi kutoka kwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Naombeni tujadili hii maada ili tutoe mapendekezo kwenye JUMUIYA za KIDINI na SERIKALI namna yakuokoa ELIMU ya WATANZANIA wote. Ni kweli ubora unazingatiwa lakini imefika mahali TUJIMULIKE na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
happy new year ndugu zanguni, ila msisahau kuweka bajeti kwa ajili ya ada za watoto wenu.
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni kweli wala sio tetesi imebainika bila shaka rais kIKwete alicheka sana karibu mbavu kuvunjika mara baada ya naibu waziri elimu MULUGO kutoKujua tanzania imeundwa na muungano wa nchi zipi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani wana JF siku hiyo nilitazama habari ya TBC jioni. Lakini kama vile sikuona swala lolote la Mtwara. Je, ni kweli hawakutangaza?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nipo kwenye daladala hapa maeneo ya kimara stop over magari hayaendi mbezi wala kuja ubungo nasikia kuna lori limepinduka na kuziba njia yoyote mwenye taarifa atuhabarishe
0 Reactions
0 Replies
3K Views
taja thread iliyokuvutia kwa mwaka 2012,kwa nyanja tofauti kama vile siasa,biashara n.k,
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Wanajopo utafiti mdogo nilio ufanya nimegundua, Wanaume wengi wa Kingoni wanapenda kuoa wanawake wa Kichagga, pia utafiti mwingine nilio ufanya wanawake wengi wenye asili ya Africa wanapenda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwana jf yeyote aliyeleta mchango mkubwa hapa jf na kukufanya uipende zaidi JF. Mfano: 1) Maxence Mello 2) Mzee Mwanakijiji 3) Ben Saanane 4) Yericko Nyerere 5) Matola Hao ni mfano...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Siku ya kufunga mkutano wa chaguzi za ccm pale DODOMA, hotuba ya Karume ilipokelewa kwa mtazamo tofauti miongoni mwa wana ccm, hasa alipoonekana kutofautiana na kauli ya KIKWETE aliyowahi kuitoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika. Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
UJUMBE WA SIMU YA MKONONI NILIOPOKEA KUTOKA KWA PASCAL CASSIAN...LEO MCHANA MAJIRA YA SAA NANE "Wapendwa mungu mkubwa nimepinduka na gari natoka Mbeya kwa huduma nimeumia mguu mmoja kavunjika yote...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Kijana aliyetambulika kwa jina la Abdallah Salumu wa miaka 18, mkazi wa Charambe Mianzini, Wilaya ya Temeke alikutwa akining'inia chumbani kwake, akiwa amejifunga kamba aina ya katani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni picha ya mvinyo huko china unatumia nembo ya taifa iliyochakachuliwa
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…