Nauliza frequence mpya na symborate za kbc

Nauliza frequence mpya na symborate za kbc

CHIKAMBAKU

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
237
Reaction score
21
Hii wadau naomba kuuliza frequence mpya na symborate za kbc ukiwa katika nyuzi 36 east.mana nina week 3 napata k24 tu
 
Hii wadau naomba kuuliza frequence mpya na symborate za kbc ukiwa katika nyuzi 36 east.mana nina week 3 napata k24 tu

Nlifikiri umechanganyikiwa. Nikamuuliza jamaa angu mmoja wa tcra akaniambia swali lako ni sawa kabisa. Ila yeye hajui. Akaniambia labda ujaribu kusachi ktk internet.

Wadau wengine watakusaidia
 
asante mkuu maana katika frequence za zamani za kbc napata k24 na family tv tu zamani nilikuwa napata 3 ukiongeza kbc.
 
Back
Top Bottom