Labda kuna makubaliano ya siri kati ya JK na Raila!
Hapo ndipo siasa inapokuwa tamu !Wanasiana ndumila kuwili
![]()
Familia ya Rais Jakaya Kikwete ikiwa pamoja na mmoja wa wagombea kiti cha urais nchini Kenya baada ya kutua nchini Tanzania na kulakiwa na Magufuli. Je, safari ya Magufuli nchini Kenye kumfanyia kampeni Odinga iliratibiwa na serikali ya Tanzania?
Magufuli! Alienda Kenya kumcampain Odinga,akiwa na kofia ya Urafiki,na si uongozi! Hata Odinga aliwahi kuja Chato,kama rafiki wa magufuli,na hata msafara wake haukua wa kiserikali! Binafsi tatizo cion lilopo hata kama nikidplomasia!