Wana bodi,
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ajili yako nami, kupewa neema ya uzima tuendelee kumtumikia katika mwaka huu mpya wa 2013 kwa kadri ya siku atakazotujalia tumtumikie...
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amebainisha kuwa, wilaya zaidi ya 45 nchini ziko hoi kwa ukosefu wa chakula, sababu ikielezwa kuwa ni kukithiri kwa ukame.
Waziri huyo amewaonya...
Ndugu wana JF HERI ya mwaka mpya 2013. Wakati tukiwa tunasherehekea kuuaga mwaka 2012 na kuingia mwaka mpya 2013,nawaomba tutumie fursa hii pia kumshauri Rais wetu mambo kadhaa ambayo unadhani...
Ndio kwanza nimemaliza kusikiliza kipindi cha "THIS WEEK IN PERSPECTIVE " kinachorushwa na TBC1. Kipindi kimejadili mambo mengi mazuri, lakini la kusikitisha ni lugha iliyotumika ambayo ni...
Hello JF members!
Have you made any New Year's Resolutions for the coming year, 2013?
What 're your ideas, dreams, plans and resolutions for 2013?
Sometimes we make them after too many beers...
Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia kuwa mitambo itazimwa kwa mkoa wa Dar es salaamu tu.
source :tbc1
Wandugu nanmbeni msaada nawezaje kupata program ya radio kwenye simu ya blackberry 8900.na je nimtandao gani ni bei rahisi kuingia net katika blackberry asanteni kwa msaada wenu mtakao nipatia
daa aisee mwaka mpya mambo mapya....nipo kwenye gali ebwana napita ofisi za star times ebwana watu wamefurikaa mnoo...wakitafuta vingamuuzi....
kama una mpango wa kuja hapa leo ...kununua...
Imebainika kuwa wafanyakazi wanatafuna fedha kwa kutochana tiketi wanazokusanya kutoka kwa abiria wanaoshuka badala yake wanaziuza kwa abiria wengine wanaoingia na fedha bila kukata tiketi kabla...
Mwili wa msichana aliyefariki dunia baada ya kubakwa kweye basi nchini India umechomwa katika maziko yaliyohusisha watu wachache.
Mwili wa binti huyo uliwasili mjini New Delhi juzi siku moja baada...
Tuache uongo na longolongo tufanye kazi. Tuwaunge mkono wanasiasa bora bila unafiki. Tuache uasi ndani ya vyama vya siasa kwa kuanzisha vipya au kuhamia kwa waliotutuma. Tuwapende wanaotupenda...
Habari za asubuhi wana Jf ,kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya analogia ,demand imekuwa kubwa sana huku mtaani.
Kama wakala nimepata wakat mgumu hapa ofisin kwangu wa kuuliziwa kama nina...
na Chalila Kibuda
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amewataka vijana kutumia fursa ya kujiajiri katika ujasiriamali, ili kuondokana na umaskini.
Mnyika alitooa ushauri huo jana...
J.m. ni toto wa masikini anayependa sana elimu. Alieanya vizur ktk masomo yake ya darasa la saba na kufanikiwa kujiunga na shule ya sekondar. Baada ya kufika kidato cha pili mama yake ambaye ndie...