Mwaka huu tubadilike

Mwaka huu tubadilike

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Tuache uongo na longolongo tufanye kazi. Tuwaunge mkono wanasiasa bora bila unafiki. Tuache uasi ndani ya vyama vya siasa kwa kuanzisha vipya au kuhamia kwa waliotutuma. Tuwapende wanaotupenda katika ndoa au mahusiano. Mwizi/fisadi atajwe na afanyiwe kazi. Haki na wajibu vitamalaki. Muhimu zaidi,tuzingatie ibada...
 
Back
Top Bottom