Johmakinda.com
New Member
- Dec 31, 2012
- 3
- 0
J.m. ni toto wa masikini anayependa sana elimu. Alieanya vizur ktk masomo yake ya darasa la saba na kufanikiwa kujiunga na shule ya sekondar. Baada ya kufika kidato cha pili mama yake ambaye ndie tegemezi wa maswala yote ya shule alifariki. Bac J.m akaanza vibarua na akipata pesa anatunza ili aje alipe ada. Alifanya hivyo mpaka alipofanikiwa kuingia kidato cha nne. Baba yake hakujishugulisha kabisa na swala la shule bali kaz yake ni kulewa na kulala gengeni. Ulipofika mwezi wa tisa mwaka jana Jm aliuwa na pesa ya kutosha ada. Akiwa anasubiri J3 akalipe ada, jumapili asubuh baba yake hakuwa na hela ya pombe , alimvizia J.m ili achukue zile pesa akanyee. Bac J.m alipoenda kanisani baba yake akaiba zile pesa. Lakini alijitahidi akalipa angalau nusu ya ada. Kufikia mwez wa kumi J.m aliugua xana hata kushindwa kufanya mtihani wa NECTA. Na xaxa anaendelea vzr lakni baba yake hamjal kabisa wala hajishtghulishi na kumrudisha mwanae shule. Xaxa J.m afanyeje na anapenda kuendelea ma masomo yake.