Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Asilimia kubwa ya graduate wa kibongo muulize plan zake hata akiwa chuoni..ni kichekesho kudadadadeki....atakuambia anaomba kwa Mungu apate kazi nzuri yenye kuvaa tai posta mpya then anunue gari...
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Kuna ajali mbaya imetokea Nyololo ikilihusisha basi la Newforce likitokea mbeya kwenda Dar, watu watatu wamekufa hapohapo na wengine wamejeruhiwa. Basi liliacha njia majira ya saa nne tatu...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Chama cha wananchi CUF kinafanya mkutano wake wa kufungua mwaka jioni hii, wazungumzaji wakuu katika mkutano huu ni mbunge wa Lindi mjini (CUF) ndg Baruani na mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) ndg...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye hotuba ya mheshimiwa rais JK ya funga mwaka jana na kuukaribisha mwaka huu anitupie hapa tafadhari,,nitashukuru kwa atakayetoa msaada huo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habali ndugu zangu,kwa wale mnaopenda sana kusikiliza redio za dini mtakuwa mnaifahamu praise power redio...inayomilikiwa na mama yetu mpedwa doctor getrude rwakatale......ila sasa tokea tumeingia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbunge wa jimbo la rombo (chadema)joseph selasini amehamua kupangisha nyumba na kabinti kadogo (jina tunalo)mwanafuzni wa cuo cha uuguzi huruma kweli maendeleo ndio haya wabunge wengine waige...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
ndugu zangu ni msimu mwingine umewadia wa kuteketeza mabilioni ya shilingi kwenye kuadhimisha maadhimisho ya kitaifa hivi karibuni tutaanza na siku ya mapinduzi itakuja muungano,zitakuja na...
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Wana Bodi Hii kweli ni mbaya sana, Sajuki alikuwa anaangaika huku na kule kutafuta 28M kwenda india kwenye matibabu, mpaka anaaanguka jukwaani arusha alikuwa na 7M, leo watu tunaona ufahari kutoa...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Japo nayachukia MAGAMBA yote hasa kutokana na UGAMBA wao ila sichukii watu... Hongera ya kuzaliwa BWANA EDO..Hongera kwa kufikisha miaka 63 sasa... Namuomba MUNGU akujalie uishi zaidi ya miaka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
"Within a colonial or neo-colonial state structure the locus of power lies outside the national boundaries, having only a local representation in the form of an administration or through the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ccm
Sioni sababu ya serikali yenu kung'ang'ania gesi ya mtwara ije dar kwasababu, 1.hyo mitambo ikiwekwa Mtwara ktapungua nini? 2.hvi nyie magamba mnajiona mnaakili sn kuliko wananchi syo? 3.toka...
0 Reactions
5 Replies
919 Views
Wana JF, kweli huu ni ungwana? Wananchi zaidi ya 40 walipoteza maisha kule Nyamongo, North mara katika wilaya Ya Tarime, mkoa wa Mara kutokana na uchafuzi wa mto Tigithe,mpaka leo familia ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mambo mengi ambayo yalitikisa Tanzania, sijui kwa sasa yameishia wapi au kama yameishapatiwa majibu, kwa mfano tukianza na EPA. Kiwira, Meremeta, Deepgreen, IPTL, Downs, BOT twin tower...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Three years ago cholera claimed the life of person in Sombetini, Arusha City where mounds of garbage were a common sight, but thanks to the proactive youth and the growing recycle and bio-fuel...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati kuna vyombo vya usimamizi ikiwemo BODI ya Maziwa Tanzania , Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) ambavyo vinahusika kuhakikisha inaratibu kiwango...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama unatumia njia hii kuna hili tukio na foleni ni ndefu sana. Magari hayatembei.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf nataka kuuliza swali kuna ugonvi gani mkubwa kati ya tanesco na huu mji wa tabata, kwakuwa hazi wezi kupita wiki mbili mfululizo bila umeme kukatika, tatizo linakuwa wapi? Kwani kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilienda kwenye msiba wa Kaka yangu miaka michache iliyopita na kushangaa kuona ndugu zangu wakiwa wamekaa nyuma na kupisha viongozi wa siasa kwenye viti vya mbele pale nyumbani kwetu. Mimi kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Visitors to the Vatican can no longer pay by credit or debit card. Reuters/REUTERS - Pope Benedict XVI waves after leading his Wednesday general audience in Paul VI's Hall at the Vatican...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I have never seen such a divided people in my life! Black caribbeans think they are more superior than Black Africans; black Americans think that they are more superior than black caribbeans and...
19 Reactions
156 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…